Namba yangu umepata wapi?

Namba yangu umepata wapi?

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Nyie wanaume kuna ugumu gani kujibu hili swali? Ndo men's code ama?

PhotoGrid_1508500590728.jpg
 
Hivi yale mambo ya kuomba namba ya mdada ama kuitafuta bila yeye kukupatia bado yapo?

Mkuu hayo hayatakaa yaishe mkuu, na hilo ni swali gumu sana kujibu.

Siku moja nilikutana na dada mmoja mzuri sana Hospital, tumekaa nikajipendekeza tukaongea tu vizuri, nilipoomba namba akanitosa, bahati nzuri alitangulia yeye kwa daktari, mimi nikafuata baada yake, sasa bahati nzuri kwenye form zile kuna mahali pa kujaza namba, nikaview ile namba nikaiweka kichwani, nimetoka tu nikaisave.

Kesho yake nampigia kumuuliza anaendeleaje nikaulizwa hilo swali maana anakumbuka hakunipa, nikamweleza process yote ilivyokuwa hakukubali, ilibidi arudi hospital kumuuliza daktari kama alinipa namba, daktari akamwambia hakuna kitu kama hicho, thanks God, ile process nilivyoielezea ndo iliyoonesha kweli nilikuwa na nia ya dhati.
 
Daah wewee unapenda chini kinoma
 
Mimi nikiulizwa hilo swali tu aliyeniuliza yuko hatarini kuwa blocked
 
Back
Top Bottom