Namba yangu umepata wapi?

sijaamini kabisa ndo maana nikauliza

inaelekea kuna mkono wa mtu hapo kwenye password yako
Hata mimi nilivyosoma mara ya pili sijaamini kabisa.

Hebu nisaidie ku-change hizi password aiseeh
 

Ulifanikiwa Kumto... au uliishia kuchukua namba
 
Asilimia 89 ya wanaume wanochukua namba huishiwa kuchunwa bila kuona ndani.
 
True caller inatoa kila namba ukiandika jina la mhusika isipokuwa tu kama namba hiyo haijasajiliwa weka jina lako nikutumie namba yako
 
Lol, umenikumbusha a guy aliyepata nr yangu kwenye workshop. Alikuwa mmoja wa facilitators.
 
Nimetoka kuulizwa Hilo swali sasa hivi, Ila imebidi nitafute shida genuine ambayo iko mbali na tongozo baadae Ndio nimeanza mdogo Mdogo, hopefully weekend haitaisha kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…