Kuna kamoja nilikaambia "nimeitoa kwenye orodha kuu ya TCRA" kakauliza umewezaje? Nikakajibu .....ukishajua jina tu mengine unajiongeza . kakaishiwa pozi.. In short jumuapproach dem bongo labda awe hakutaki ila ni wepeesi mno hasa wale wa mijini. Wa vijijini baadhi ni washamba kwelikweli. Japokuwa nao wengi ukitumia ujanja utawamaliza kwa ushamba wao.