Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wasenge hawa wanacheza akili zetu ******zaoNamba za Help Desk +255735398259/+255784398259
Malalamiko ++255736005511/ 255679398259
Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
Hivi na wewe hunaga ajira mkuu?Tena jipu la tambazi....
Ni dhambi?Hivi na wewe hunaga ajira mkuu?
Yess ni jipu mno, yaani ukikosea wanakuambia eti tuma ombi lako kwa katibu wa secretariat, na yeye unakuta hata hajibu. Ila ukweli wana matatizo makubwaHabarini za kazi wapendwa.
Ujumbe kwa watu wa Sekretarieti ya Ajira kama hamtaki kutoa msaada kwa waombaji wa kazi inatakiwa mfute namba za huduma mlizoweka kwenye mfumo wenu maana mmekua kero simu hazipatikani na hata zikipatikana hampokei yani mnakera sana kwanza mfumo wenu hauna sehemu ya kufuta cheti iwapo mtu kaweka cheti kimakosa na hata akiwapigia mtoe msaada simu hazipatikani sasa kazi yenu ni nini mshakua majipu wakubwa mnaboa.
Nashukuru mketa huu uzi nimepiga namba mojawapo hapo kwakweli nimepewa ushirikiano mzuri na shida iliyokuwa inanikabili imetatuliwaNamba za Help Desk +255735398259/+255784398259
Malalamiko ++255736005511/ 255679398259
Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
Umeokota dodo chini ya Mwembe, hongeraNashukuru mketa huu uzi nimepiga namba mojawapo hapo kwakweli nimepewa ushirikiano mzuri na shida iliyokuwa inanikabili imetatuliwa