A
Anonymous
Guest
Asee mimi nakwazika sana kwenye kufanya application ya kuomba transcript kwanza wameweka namba ambazo ukipiga hazipokelewi na zikipokelewa hakuna anayeongea.
Pili, kwenye mfumo ukiomba Control Number mfano ukachelewa kulipia ika-expaya hawatoi tena, mpaka utafute mtu ambaye yupo kwenye group ambaye hatumtambui kama ni anafanya kazi NACTVET, unampa hela ndiyo unawezapata namba mpya, pia mtandaoni wanakwambia weight for new control number, week imeisha.
Pia, mshkaji wangu naye kaniambia mfumo wa kuomba AVN NUMBER kwenye tovuti ya NACTVET unasumbua anashindwa kuomba AVN number ili tu apply Chuo na mikopo ya elimu ya juu Kwa sisi tuliotokea diploma.
Pia soma ~ NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi