Namba za kukariri Tanzania

Namba za kukariri Tanzania

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,972
Watanzania tuna namba nyingi za kukariri
1. Namba ya ubatizo
2. Namba ya kipaimara
3. Namba ya mtihani form four
4. Namba ya mtihani form six
5. Namba ya chuo
6.TIN number au namba ya kitambulisho cha mjasiriamali
7. Namba ya PSSF/NSSF
8. Namba zako za simu
9. Namba ya bima ya afya
10. Namba ya leseni ya udereva
11. Namba ya kadi ya mpiga kura
12. Namba ya nyumba
13. Namba za gari au pikipiki
14. Namba ya NIDA
15. Namba ya akaunti ya benki
16. Namba ya king'amuzi
17. Namba ya LUKU
18. Namba ya cheti cha ndoa

Tuma namba nyingi za kukariri,
Ongeza zingine
 
Duh..watu mna muda kweli unakariri hadi number za ubatizo!?? Yaani me hapo najua number zangu za Simu tu. Lkn karibu number zote ulizoandika nnazo zikiwemo za bank na Tin number!
 
Back
Top Bottom