Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua.

Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi.
  1. Kujua namba ya utambuzi wa Simu yako (IMEI): *#06#
  2. Kujua kama uliyempigia ameona Missed Calls zako na amejikausha *#61#
  3. Kujua kama Simu unazopiga au kupigiwa zinasikilizwa na mtu mwingine: *#62#
  4. Kujua namba ya Simu inayosikiliza Simu zako: *#67#
  5. Kujua taarifa zako zinazosikilizwa: *#004#
  6. Kufuta mawasiliano yako yanaingiliwa na mtu yeyote: ##002#
  7. Kujua kama namba yako imeingiliwa: *#21#
  8. Kujua kama umeingiliwa kivyovyote (Kwa Android): ##4636## au ##197328640##
  9. Kujua kama umeingiliwa kivyovyote (Kwa iPhone): 3001#12345#
  10. Kufuatilia Simu yako iliyoibiwa au kupotea (Kwa Android): ##1472365##
  11. Kuangalia Firmware ya Camera (Kwa Android): ##34971539#*#
  12. Kujua anuani ya MAC (Kwa Android): ##232338##
  13. Kuirejesha Simu yako katika Simu hatua ya awali ya kuundwa (Factory Reset) (Kwa Android): ##7780##
  14. Kufuta kila kitu kwenyd Simu (Kwa Android): *2767*3855#
 
🫡
 
Ni ushauri mzuri

Lakini kwa bahati mbaya sana ni kwamba watu wanaohujumu mawasiliano ya kimtandao ya watu ni wale wale ambao jamii inawategemea kwamba watalinda mawasiliano yao.
 
BIG UP MKUU sio kuandika habari za uchawa kama yule LUCAS hongera sana boss
 
+255121
Ni code gani hii nimeikuta kwenye vioce call, video, nk
 
🙏🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…