Kutokana na Namba iliyojitokeza baada ya kufanya 'confirmatory test' ili kujiridhisha kwamba mawasiliano yako ya simu yako aidha yanafuatiliwa au lah, matokeo haya yanaonyesha kuwa ni dhahiri kwamba wewe upo under Surveillances ya "Watu Wasiojulikana." Namba hii +255128 iliyojitokeza kwenye utafiti huo inaonyesha wazi kuwa ni "Namba ya simu yenye utata mkubwa sana tena Namba yenye mashaka yote kabisa kwa asilimia zaidi ya 95 ( extremely malicious and suspicious phone number). Namba hiyo ya simu ukiondoa country code number utaona kwamba inasomeka kwa usahihi zaidi katika mtiririko huu, yaani: 128. Swali: Je, ni akina nani hapa Tanzania wanamiliki Namba hii ya simu?? Je, Namba za simu ambazo zipo katika mfumo Kama huu huwa zimilikiwa kiholela na watu binafsi?
Hebu karibu kutazama Namba za simu ambazo zipo kwenye kiambatisho cha picha hapa chini, kisha linganisha na Namba hiyo (i.e 128) na mwisho kabisa fanya ulinganisho wa ujumla dhidi ya mifumo ya kawaida ya kimataifa ya uanishaji wa Namba za simu kimataifa (Telephone Numbering Plan) uliopo chini ya taasisi ya kimataifa ya uanishaji wa Namba za simu (International Telecommunication Union, ITU ). Utagundua kwamba Namba hii 121 iliyojitokeza inatumia mfumo wa 'Short Code' katika kuainishwa kwake, mfumo ambao siyo wa kawaida hata kidogo, kwa sababu Namba za simu za namna hiyo ni maalumu Sana ambazo zinatolewa kwa mmiliki/wamiliki kwa sababu maalumu tu na kwa matumizi maalumu. Bad enough, hata TCRA wameficha utambulisho wa mmiliki wa Namba hiyo ya simu ya 128.