Namba za magari Tanzania

Namba za magari Tanzania

mtendaji mkuu wa mahakama tanzania
Daaa, kweli mkuu! Kwenye msafara niliona pia gari ya namba JM nikahisi ni jaji mkuu na lingine ni known ilikuwa namba J. Asante umenitoa tongotongo
 
Hivi kuna namba kama T nnn 888 za Tanzania huwa zinatolewa katika mfumo upi?
 
Hazijawekwa kisomi kama kwa wenzetu, chukulia mfano pik pik inapewa no. MC,
 
T 112 CUF
T354 CCM
T 111 CDM
T007 ACT
T437 ADC
T 007 VUZ
T 667 DAR
T 875 DOM
 
Ukiona gari lina namba zinaanziwa na ZT mfano;
ZT 0492

Ujue hayo ni magari ya Jeshi la Zimamoto Tanzania.
 
Hahahahaa kavitz kamoja kana namba
T 122 BMW
 
Ni kweli kaka....hii ni kuondoa confusion na namba 0 na 1 ndio maana namba zote zinaanzia 101....hadi 999 na sio 001.....gari ya kwanza kabisa ikiwa T101AAA na ya mwisho hopefully T999ZZZ
Watalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..
 
Watalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..
Hiyo shughuli ni pevu sana! Lakini plate number zinaanzia T 001 AAA
 
Back
Top Bottom