Namba za magari zisizo rasmi zimezidi kwa sasa Dar

Namba za magari zisizo rasmi zimezidi kwa sasa Dar

Umetumia kigezo gani kikakupa majibu kua ziko nyingi???
Zikianzia idadi gani ndotunasema ziko nyingi?
 
Kuna gari nimeziona mwezi huu mpaka mda huu sielewi zile number plate gani [emoji23] Moja nmeiona Mdaula ingine Mitaa ya round about ya kuelekea White sand

yani katika gari zoote zenye Number plate za ajabu ajabu zile zimezidi inaanza herufi za kutosha katikati namba mwisho herufi za kutosha

Kibao cha Biashara ila izo gari kama sio Bmw basi Benz tena new models na zina mwendo mkali balaa

Sent
 
Magari mengne niyawatuhumiwa tu wanayachukua wanayawekea namba zao wanazozijua
 
Chasis number huwa inaheshima yake ukitembelea hapa town we unaandaa alfu tano tano za trafic kila unapokamatwa.
 
Wanaoendesha wababe wakifika wanauliza "unajua mimi ni nani?" Toa kigari chako nipaki
 
Dar wanaume ndio wanaongoza kwa umbea na ufukunyuku. Hivi unaanzaje usoma plate number za kila gari? Huo muda unatoa wapi? Lengo lako linakuwa nini?
Nin kawaida tu kwa sisi tunao drive.tuna tuko kwe ye mishe zetu usidhan tumekaa vijiwen .vijiwen huwez ona hizo plate namba
 
Hasa hasa hawa wazee wa PGO. Yaani unakuta anamiliki ka starlet ila kaweka plate namba ya Singapore [emoji23][emoji23]
Wanakera sana aisee mtu anaweza hata kugongwa msijue pa kuai
Dar wanaume ndio wanaongoza kwa umbea na ufukunyuku. Hivi unaanzaje usoma plate number za kila gari? Huo muda unatoa wapi? Lengo lako linakuwa nini?
mtu wa nanjilinji hujui hata mjini watu wanaishi kaa life style gani inaonekana huna hata baiskeli ungekuwa nayo ungejua
 
Dar wanaume ndio wanaongoza kwa umbea na ufukunyuku. Hivi unaanzaje usoma plate number za kila gari? Huo muda unatoa wapi? Lengo lako linakuwa nini?
MTU makini lazima awe active!!! Ukiona kitu tofauti lazima uwe na maswali mengi!!! Hata mm nipo mkoani huwa nadhangaa plate namba za ajabu!!! Kuwa mkoani hakukufanyi usiwe inquisitive!?? Wanaume wa mkoani punguzeni ushamba
 
Back
Top Bottom