Nanjilinji hakuna washamba kama huyu aiseeWanakera sana aisee mtu anaweza hata kugongwa msijue pa kuai
mtu wa nanjilinji hujui hata mjini watu wanaishi kaa life style gani inaonekana huna hata baiskeli ungekuwa nayo ungejua
Mshamba sana huyo jamaa hajui kama mtu ukiwa unasoma basi mda mwingi utakuwa unadeal na education stuff ukiwa unajenga nyumba mda mwing ni maswala yaNanjilinji hakuna washamba kama huyu aisee
Mimi niliona moja juzi STM 0006 halafu VX jipyaa seat bado zina nylonHizi ni za akina nani? View attachment 2073581
Huu ni mwendelezo wa namba za Serikali, STK,STL na sasa STM.Hizi ni za akina nani? View attachment 2073581
Yellow & white?Kuna gari ambazo plate number ya mbele na ile ya nyuma zinatofautiana.
KCB ni gari za kenya izondo izo nakumbana nazo mimi [emoji28] hadi kibao tofauti moja mbele cha njano nyumba cheupe
Sent from
Hao ndio wana bahati, Plate namba series mpya chuma kikali kipya ukute 0kmMimi niliona moja juzi STM 0006 halafu VX jipyaa seat bado zina nylon
Ngoja tusubiri majibu