namba za magari

  • Thread starter Thread starter GP
  • Start date Start date

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
2,049
Reaction score
161
😕
waungwana habari za leo?
mi nina swali au tatizo moja dogo, kuna namba za magari naziona hapa mjini
tena plate yake ni nyeupe na maandishi yake ni meusi, nimeshaona nyingine hiace ikiwa imepakia abiria na nyingine saloona nahisi ni taxi.
namba hizi zipo kama hii:
Z 888
AG

sasa jamani hizi ni namba za Zambia au ni za Zanzibar?
maana naona kama kuna kabendera ka tanzania kama sio katanzania yaani sizielewi jameni,
msaada kwenye tuta!.
 
Hizo ni namba za NCHI YA ZANZIBAR!
 
Nafikiri kuna Nchi ambayo tumeungana; lakini Muunganiko wake nasi ni wa kufikirika tu in in practice haupo; nchi hiyo inaitwa Zanzibar nafikiri hizo zaweza kuwa namba zake
 
Tanganyika walijitia kujua...sasa hayo ni majibu
 
What?
No!
Zanzibar si nchi.
.
NCHI YA ZANZIBAR na nyiye si mna TANGANYIKA yenu!, ndiomana kuna mambo mengine si ya Muungano,mbona hamuitaki TANGANYIKA yenu?
 
.
NCHI YA ZANZIBAR na nyiye si mna TANGANYIKA yenu!, ndiomana kuna mambo mengine si ya Muungano,mbona hamuitaki TANGANYIKA yenu?

Mkuu Mbona una maneno ya hatari? Unauliza bila aibu kwamba "Mbona hamuitaki Tanganyika yenu?" I know you know better than that......P/se usitupeleke huko!!!Masuala haya ni hatari kuyajadili kwa jazba kama kujadili/kukosoa imani ya mwenzio,tunapojadili Utanganyika/Uzanzibari tujaribu kukwepa Lugha za Kejeli kama hizo unazozitumia....Niwie radhi kama umekwaza na bandiko langu,lakini angalia lugha yako Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…