GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
😕
waungwana habari za leo?
mi nina swali au tatizo moja dogo, kuna namba za magari naziona hapa mjini
tena plate yake ni nyeupe na maandishi yake ni meusi, nimeshaona nyingine hiace ikiwa imepakia abiria na nyingine saloona nahisi ni taxi.
namba hizi zipo kama hii:
Z 888
AG
sasa jamani hizi ni namba za Zambia au ni za Zanzibar?
maana naona kama kuna kabendera ka tanzania kama sio katanzania yaani sizielewi jameni,
msaada kwenye tuta!.