Namba za Makamanda wa Polisi Tanzania

Namba za Makamanda wa Polisi Tanzania

Nyingi ya hizo namba ukipiga hazipatikani, zikipatikana zipo busy, zisipokuwa busy hazipokelewi, zikipokelewa eidha msielewane au uzimsikie anayezungumza naye.
 
Jaribu ya mtoto wa mjini central region Dodoma
 
Niliwahi kumwambia kuna watu wanaiba mafuta ya wajenzi wa reli ya mwendokasi, hebu tuma askari waje wawakamate, alichonijibu sikuendelea kumsikiliza
 
Mwenyewe mtoto wa kihuni ndio atapokea.
Tuache hayo. Hivi huyu mkuu akifika kwa mchepuko wake huwa wanafanyaga romance?
Tena watu kama hao wanakuwaga romantic vibaya sana,wanajali pia wana ile hali ya uanaume ndani yao!!
 
Niliwahi kumwambia kuna watu wanaiba mafuta ya wajenzi wa reli ya mwendokasi, hebu tuma askari waje wawakamate, alichonijibu sikuendelea kumsikiliza
Alikujibu nini mkuu?
 
Namba zote ni za mtandao mmoja wa simu.
Inawezekana kuna kampuni ya simu imejitolea
Inawezekana wametazama ni mtandao gani unatumiwa sana na watu wa kipato cha chini (wanyonge😫
 
Dah, kati makamanda wote sijaona hata mmoja aliyejifanya mzalendo kwa kutuwekea laini ya TTCL au ule utaratibu wetu wa wateji wote wa serikali/vyombo vyake kutumia TTCL umeondoka na mwendazake!?
 
"Sawa nimesikia, ila tatizo wanayajua magari ya polisi wakiyaona wanakimbia na kuyaacha mafuta na kuwakamata ni vigumu sana"
Duuuh,una haki ya kutoendelea kumsikiliza
 
"Sawa nimesikia, ila tatizo wanayajua magari ya polisi wakiyaona wanakimbia na kuyaacha mafuta na kuwakamata ni vigumu sana"
Kama wanakimbia hapo polisi wanafanya kazi ya kuokoa Mali za raia kwahiyo kupiga simu kwakwo kunakuwa na faida
 
🤣🤣
Mkuu unawajua polisi wetu!!! wanaokoa mali ya raia!!!?

Subiri wadau waje
Polisi kuokoa Mali ya raia ni wajibu wao Mara nyingi polisi wanatimiza hilo,tatizo la polisi wachache kuharibu sifa hiyo kama wapo Hivyo haliwezi geuza twasira ya jeshi hili kuifanya kazi hiyo mkuu
 
Kama wanakimbia hapo polisi wanafanya kazi ya kuokoa Mali za raia kwahiyo kupiga simu kwakwo kunakuwa na faida

Polisi kuokoa Mali ya raia ni wajibu wao Mara nyingi polisi wanatimiza hilo,tatizo la polisi wachache kuharibu sifa hiyo kama wapo Hivyo haliwezi geuza twasira ya jeshi hili kuifanya kazi hiyo mkuu
Mkuu subiri watakujibu, kuna wahanga wengi wa hilo humuhumu usiende mbali tulia hapohapo
 
"Sawa nimesikia, ila tatizo wanayajua magari ya polisi wakiyaona wanakimbia na kuyaacha mafuta na kuwakamata ni vigumu sana"
Polisi na wezi ni kitu kimoja. Ukiona mwizi kakamatwa ujue hakupeleka mgao.
 
Mimi ngoja nizisevu zote nikienda sehem wakinizingua tu napiga directly yaani.

Hadi raha kikubwa umakini tu.
 
Back
Top Bottom