Namba za Makamanda wa Polisi Tanzania

Hivi hizi namba ni zao au ni za ofisi zao. Kuna RPC mrembo namuonaga sana nataka kumcheki tuyajenge
 
Hivi wale jamaa wa "Ile hela tuma kwenye namba hii" huwa wanatuma zile text zao na kwenye namba za hawa waheshimiwa?
Maana huwa nawaza kwa nini hawa matapeli wanaachwa tu wakati kuna vitengo vya usalama ambavyo vinadeal na wahalifu tena vina access ya kufuatilia simu za watuhumiwa na kuwadaka sasa wanashindwa nini kukamata hivi vitapeli vinavyotuma sms na kuwatapeli ndugu zetu kila siku!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…