Namba za mtihani wa kidato cha sita 2013

Namba za mtihani wa kidato cha sita 2013

Joined
Dec 27, 2012
Posts
17
Reaction score
3
Naomba kuuliza kama namba za watahiniwa wa mtihani wa kidato cha 6 mwaka 2013 zimetoka?maana kuna wanaosema zimetoka huku wengine wakisema bado.
 
Kwani wewe ni S.C au P.C?Kama ni school candidate muulize mwalimu wako wa taaluma,binafsi kwetu tumeshapewa na ndio hizo tumetumia kwenye pre-national examination
 
Kwa P.C bado jaribu kuwa unaangalia web ya necta wakitoa watawatarifu.
 
Kwani utaribu ukoje? Namba zinatolewaje? Ninachojua kama ni school Candidate namba zainatolewa shuleni kwako na wale wa PC wanapata kupitia anwani zao au kwenye vitu walivyojiandikishia
 
Back
Top Bottom