Namba za NAPA za Mwanafunzi chini ya miaka 18 (asiye na NIDA)

Namba za NAPA za Mwanafunzi chini ya miaka 18 (asiye na NIDA)

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
 
Sogea ofisi husika kwa msaada zaidi, piga huduma kwa wateja, sumbua huko kwenye website zao.

Na kawa kuna wanaojua hapa, tafadhari mpeni assist ndgu yetu.
 
Back
Top Bottom