MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 620 Reaction score 282 Jul 15, 2026 #1 Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Jul 16, 2026 #2 Sogea ofisi husika kwa msaada zaidi, piga huduma kwa wateja, sumbua huko kwenye website zao. Na kawa kuna wanaojua hapa, tafadhari mpeni assist ndgu yetu.
Sogea ofisi husika kwa msaada zaidi, piga huduma kwa wateja, sumbua huko kwenye website zao. Na kawa kuna wanaojua hapa, tafadhari mpeni assist ndgu yetu.