KERO Namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili tokea tujisajili kata za Arusha, tatizo nini?

KERO Namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili tokea tujisajili kata za Arusha, tatizo nini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

MANVOICEhd

New Member
Joined
Feb 1, 2026
Posts
4
Reaction score
2
Wananchi tunahoji kwanini namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili toka zoezi la usajili wa namba za NIDA kufanyika katika kata za jiji la Arusha.

Wengi wao wenye uhitaji wa namba za nida ni wanafunzi wanaotarajia kufanya application za mkopo wa elimu ya juu huku baadhi yao wakienda ofis za nida kuuliza hawapatiw mwelekeo wa lini zitatoka
 
Wakikujibu unitag mkuu. Mimi labda uniambie ni nyaraka zipi na zipi mlienda nazo?
 
KERO kubwa hii, ilaa ht hivyo Nchi yetu inapaswa itoke kabisa kwenye taratibu za kizanani za manual activities na analogy things...waende kisasa kimfumo
Mfano walikuja na huduma ya NIDA online, ambapo ungeweza pata vyote hivyo popote ulipo kwq simu yako tu...sikuhizi huduma hiyo ishakufa kibudu sheikh
 
Ni changamoto mkuu
 
Back
Top Bottom