Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Ni bei nafuu ila kwa kusubiria miezi 6 au zaidi huo muda una thamani kuliko hio elfu 27!Cha msingi ,mtu aipate huduma ya umeme kwa bei rahisi.
Tz tunanunua unit moja kwa bei rahisi kuliko uganda.na kuunganishiwa umeme ni wastani wa 27,000.kwa hiyo ni bei nafuu kwa mtu wa kawaida.na hilo ndio lengo kuu la huduma za umma
Gambino ni MWONGO. Katika mashirika ambayo hayakukaguliwa na CAG kwa mwaka 2019/20 ni pamoja na TANESCO. Swali hiyo faida unayoisema wewe imethibitishwa na nani?Mimi ukiniuliza kwa namba, TANESCO ya Magufuli imefanya kazi kubwa kuliko Tanesco yoyote toka tupate uhuru.
Kabla ya 2015 TANESCO ilikua na wateja 1.8m, yaani kwa miaka 55 tanesco iliweza kuunganisha watenja 1.8m pekee.
Kwa miaka 5, yaani 2016 hadi 2021 tanesco imeunganisha wananchi 1.2m, kwa maana kwamba ukiwapa tanesco miaka 55 kama tanesco ya kabla ya 2016, wataunganisha wananchi 13.2m.
Magufuli alifanya mambo mengi mazuri na mabaya lakini mnapomponda msisahau facts basi ama muwe na facts na sio chuki tu kama vile mtu alietembe ana mkeo ama mpenzi wako.
Mbaya zaidi kwa kupindi hicho cha Magufuli TANESCO imeweza ku post faida ya 52B, angalia vitabu vya hesabu vya mwaka 2020 kutoka kwa CAG.
Sasa wewe nisaidie kujua ni tanesco gani ilikua nzuri zaidi ya hii ya Magufuli? Ile ya jakaya ya kukatika umeme siku 8? Ama nyingine? Ile ya jakaya ya Dowans, Symbion, Agreko, IPTL, Capacity charges, service charges, kuunganisha umeme kwa zaidi ya laki 3 kwa mjini ama tanesco ipi?
Tumponde Magu kwa facts kidogo basi.
Duuu kwa hiyo sababu ya kuweka kuanzia 2016 ni kujustify mnachotaka kufanya na kuonyesha kwamba Magu alivurunda TANESCO,haya sawaHata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Gambino ni MWONGO. Katika mashirika ambayo hayakukaguliwa na CAG kwa mwaka 2019/20 ni pamoja na TANESCO. Swali hiyo faida unayoisema wewe imethibitishwa na nani?
Nimemnukuu Spika Job Ndugai alivyosema alipokuwa anahitimisha mkutano wa Bunge mwezi June.View attachment 1955030View attachment 1955032
Mkuu haikukaguliwa CAG hizi findings alizitoa wapi?
Kuna vitu havikukaguliwa lakini sio vyote, nilifuatilia huo mtanange hadi kwenye kamati za bunge kwa mashirika yale ambayo yalisemekana hayakukaguliwa.
Tuwe tunajitahidi kusoma kwanza, usipende tu kupewa summary.
Mkuu, hii ni ngumu aisee. Hakuna mwananchi wa kawaida atayeweza kulipa tsh 600 kwa unit moja ya umeme! Na Znz haitakubali kuanza kulipia umeme sasa, hii pia itafanya bei ya umeme ipande zaidi.Ndio maana serikali imeamua kuteua wajumbe wa bodi wanabiashara Ili kulisaidia shirika kujiendesha.
Na imesema haitaingilia mambo ya management na Kwa maana Hiyo serikali ilipe madeni yake.
Hapa wanafeli kwakweli, hata zile stori za maji kukauka ziliisha kipindi cha mwana, mimi mwananchi wa kawaida nimewahi kuishi miezi 3 mfululizo bila kuona katizo la umeme, hili ni jambo lililokuwa muujiza kwa miaka 55 ya uhuru.Duuu kwa hiyo sababu ya kuweka kuanzia 2016 ni kujustify mnachotaka kufanya na kuonyesha kwamba Magu alivurunda TANESCO,haya sawa
Kwani ya JK ilikuwaje, tuletee na hio bwashee!Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Aliyependekeza JM apewe uwaziri wa nishati has done us a favour this was a ‘litmus test’ for him on his long term political ambitious.Nitauliza swali hili Tanesco ya uganda ina hudumia wateja wangapi ukilinganisha na hii ya Tanzania?
Umeme ni huduma kwa wananchi au ni biashara inayo takiwa iingizie serikali faida? Matumizi ya kodi ni kwa ajili ya nini? Kwa nini wananchi wanalipa kodi?
Nimeangalia CV ya CEO mpya unabaki unashangaa tu. Shirika la Kitaaluma kama Tanesco unatakiwa umuweke anaye liongoza awe anaongea lugha moja na watendaji wa core function ya shirika. Kwanza ni kama kuwa dhalilisha mainjinia wa nji hii. Na huyu CEO linapokuja suala la utaalamu wa co function ya shirika itabidi awe mpole na tegemezi tu. Hata hivyo kuhujumiwa inakuwa rahisi sana. Sijui members wa body kama kuna hata engineer mmoja wapo atakaye ongea lugha moja na waendesha shirika huku chini?
Lengo la Magufuli lilikuwa ni kutumia vyanzo vyenye unit cost nafuu or a mixture of different sources which reduces the average unit cost, kumpa unafuu mtanzania.1. Form za maombi ya kuunganishiwa umeme ziliondolewa tukashangilia
2. Service charge ziliondolewa tukashangilia.
3. Service line cost zilishushwa mpaka Tsh 320,900/= kwa single phase ndani ya mita 30 tukashangilia.
4. Service line cost zimeshushwa mpaka Tsh 27,000/= kwa wateja walio na umbali mpaka mita 120 tukashangilia.
5.Gharama za uzalishaji kila siku zinapanda
Kutokana na hayo hapo juu mnategemea TANESCO ifanye vizuri?
Tunapenda vitu cheap na ndio maana matatizo ni mengi.
Kuna kitu kinaandaliwa kwa ustadi mkubwa sana, huoni puppets wa February wanazidi kujaa humu? Ngoja tusubiriMabadiliko ni muhimu ila kuwaweka waliowekwa wenye dosari za kiutendaji kwenye rekodi zao kumepoteza maana ya mabadiliko aliyofanya.
Wapigaji hawakutakiwa kuingizwa kwenye hiyo menejimenti, haitakiwi urafiki uwe kigezo cha kuteua wajumbe, bali ni sifa na weledi wao kiutendaji, hili ni doa zaidi hata kwa waziri mwenyewe mwenye rekodi mbovu.
Sijapinga lengo la JPM ni zuri sana. Na kati ya kitu ambacho nilikubaliana na JPM ni hicho. Kabla hatujafikia huko hapa tuna survive vipi kila kitu kiende sawa. Taarifa zinasema mwaka jana TANESCO ilikusanya 1.8T na kilichotumika ni 1.8T maana yake hakuna faida. Sasa bei zimeshushwa za Service line tutarajie matumizi makubwa kuliko mapato maana yake ni hasara.Lengo la Magufuli lilikuwa ni kutumia vyanzo vyenye unit cost nafuu or a mixture of different sources which reduces the average unit cost.
So msianze mambo ya NHC public housing kupanga rent za private landlords; muende waumiza watu wenye income ndogo with price hike ambazo awawezi zimudu kama ilivyotokea NHC chini ya Nehemia.
Matumizi na mapato kulingana, ni either haukusanyi vizuri mapato au unatumia vibaya unachopata.Sijapinga lengo la JPM ni zuri sana. Na kati ya kitu ambacho nilikubaliana na JPM ni hicho. Kabla hatujafikia huko hapa tuna survive vipi kila kitu kiende sawa. Taarifa zinasema mwaka jana TANESCO ilikusanya 1.8T na kilichotumika ni 1.8T maana yake hakuna faida. Sasa bei zimeshushwa za Service line tutarajie matumizi makubwa kuliko mapato maana yake ni hasara.
Tukumbuke vitu vizuri vyote ni gaharama.
Umemjibu vizuri SanaMtoa mada amepotelea kwenye usomi usio na uhalisia hata kidogo. Huo mfananisho na uwiano hauna uhalisia hata kwa ⅛ ya ukweli halisi.
Labda tumuulize mtoa mada, anajua MDAIWA SUGU wa Tanesco ni serikali kuu? Anajua umeme unaotumiwa visiwani unatoka huku ila makusanyo yote yanaishia kule kule? Una fahamu shirika lina zaidi ya wafanyakazi 6000 na takribani nusu ya wafanyakazi wanapewa unit 750 kila kwezi kwa gharama isiyozidi shilingi 12,000?
Sasa kama Tanesco wataongeza assets ili kuzalisha na kusambaza umeme, halafu wasikusanye sawa na assets zao, utawalaumu? Fikiria Mkurugenzi wa Tanesco anaenda kuidai IKULU, kambi za jeshi kupitia wizara, mahospitali kupitia wizara, shule n.k, hao wote hawalipi ujue!
Sasa binafsisha au liendeshe kibiashara tuone unapataje faida na kupandisha ufanisi! Netgroup solutions walikata umeme Ikulu, sijui kama unakumbuka? Enzi za Idrisa, kisa cha kujiuzulu ni Tanga cement kudaiwa zaidi ya 900ml na hawataki kulipa kwakuwa mkubwa anafahamiana na waziri na m/kiti wa bodi ambao wanashinikiza deni lisilipwe.
Jamaa walifikiria kuzima umeme uendao visiwani pia.
Sijui kama huu wa namba unajua yote hayo, na hata hivyo, kuifananisha Tanesco na kakitu kadogo ka Uganda ni kuizalilisha. Enzi za Julius, Tanesco ilikuwa shirika bora Africa, nambari uno. Sasa hatuna haja ya kwenda mbali kuchukua namba kujifunza, tufute mavumbi yale madocs, tugelezee tu.
Aliyependeza JM apewe uwaziri wa nishati has done us a favour this was a ‘litmus test’ for him on his long term political ambitious.
Mtu yoyote mwenye uelewa wa kawaida tu wa biashara, without trying to be the ‘prophet of doom’ maamuzi yake ya awali tu ameshafail.
Matatizo ya TANESCO ukisoma statement yao na malalamiko ya wananchi kuna issue za engineering technicalities na capacity planning za project management; mfano kwenye statement niliyosoma mimi wameshachukua zaidi ya billioni 2 za kuwafungia watu umeme kazi ambayo aijafanyika hiyo ni loss of income tatizo ni nini? uzembe au limited resources ya kuongeza kasi. Solution yake unahitaji mtu mwenye skills za project management za infrastructure au engineer.
Then kuna issue ya kukatika umeme ideally you need an engineer with succession planning ambae ameshapewa managerial training along the way za kusimamia hilo tatizo a substitute is someone with energy management qualification.
Put it this way logic says huyo mtu ameshafeli kabla hata ajafungua mlango wa ofisi.
Muhimu zaidi lengo la Magufuli lilikuwa ni kuzalisha umeme at low unit cost karibu na nchi za west zineweza ivyo; sasa mtu kama Nehemia solution zake ni price hike.
Personal nimeshamfuta Makamba as a likely future presidential candidate, alikuwa na hiyo risk he is too unrealistic ambitious.
Watch this space hiyo team yake inaenda tengeneza matatizo zaidi TANESCO.
Sijapinga lengo la JPM ni zuri sana. Na kati ya kitu ambacho nilikubaliana na JPM ni hicho. Kabla hatujafikia huko hapa tuna survive vipi o kitu kiende sawa. Taarifa zinasema mwaka jana TANESCO ilikusanya 1.8T na I kilichotumika 1.8T maana yake hakuna faida. Sasa bei zimeshushwa za Service line tutarajie matumizi makubwa kuliko mapato maana yake ni hasara.
Tukumbuke vitu vizuri vyote ni gaharama.
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.
Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.
Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....
Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......
View attachment 1954796
Maelezo kwa faida ya wengi
Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...
TANESCO YA UGANDA (UMEME) Revenue growth between (2016 - 2020) 22.28%Total assets growth (2016 - 2020) 19.72%
TANESCO YA TANZANIA Revenue growth between (2016 - 2020) 13.38%Total assets growth (2016 - 2020) 42.90%
Kwa faida ya wengi.
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.
Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.
Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....
Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......
View attachment 1954796
Maelezo kwa faida ya wengi
Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...
TANESCO YA UGANDA (UMEME) Revenue growth between (2016 - 2020) 22.28%Total assets growth (2016 - 2020) 19.72%
TANESCO YA TANZANIA Revenue growth between (2016 - 2020) 13.38%Total assets growth (2016 - 2020) 42.90%
Kwa faida ya wengi.
Magufuli ni mtu aliekuwa akifanya informed decision nadhani alielewa sana standing costs za shirika bado zipo juu kushinda income.
Mipango yake ni ya muda mrefu shusha bei ya kuunganisha umeme, lower production costs na unganishia watu wengi zaidi eventually utakuwa on profit.
Na it was working, sasa kaangalie tena customer reserve capital watu wangapi washalipia deposit bado awajafungiwa umeme hiyo ni revenue loss kwa sababu ya uzembe.
Max please ongea na huyu mod wako serious hana shida gani huyu mtu kichwani kwake, mbona yupo so addicted na mimi.
I can’t type right now the cursor is just jumping the other day (jumamosi) I was locked out of my iPhone.
Ongea na huyu mtu wako au mtafutie therapy hanijui mimi ni mchangiaji kama members wengine aachane na addictiony zake serious huyu mtu ni tatizo.