jamaa wana chuki na jiwe noma waambie wana kera mnoTakwimu za kupikwa hadi uchumi wa kati na world Bank ikathibitisha.
Umeme ulikatikakatika mara kwa mara tena ulikuwa na gharama za juu sana.
chuki ikizidi ni ugonjwa unaoweza kukusababishia kansa na hata kukutoa ktk reli ya kuuona ufalme wa milele.
Unapimaje hasara wakati kuna service imefanyika..., ni sawa sawa useme wewe sababu kila siku unakula basi ni hasara wakati kula kwako wewe ndio kunakufanya upate nguvu za kufanya kazi....Sijapinga lengo la JPM ni zuri sana. Na kati ya kitu ambacho nilikubaliana na JPM ni hicho. Kabla hatujafikia huko hapa tuna survive vipi kila kitu kiende sawa. Taarifa zinasema mwaka jana TANESCO ilikusanya 1.8T na kilichotumika ni 1.8T maana yake hakuna faida. Sasa bei zimeshushwa za Service line tutarajie matumizi makubwa kuliko mapato maana yake ni hasara.
Tukumbuke vitu vizuri vyote ni gaharama.
Umetumwa kupigia chapuo hoja za mafisadi wanaojidai tanesco haina performance ili wajiingize kuila au kukwapua. Ukiwaambie walinunue shirika watataka kuliiba maana thamani yake ni kubwa na wanajua hawawezi kuendesha shirika kama tanesco kwa faida. Assets kua nyingi sio sign ya poor performance hiyo ni kumisslead watu.Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.
Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.
Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....
Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......
View attachment 1954796
Maelezo kwa faida ya wengi
Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...
TANESCO YA UGANDA (UMEME) Revenue growth between (2016 - 2020) 22.28%Total assets growth (2016 - 2020) 19.72%
TANESCO YA TANZANIA Revenue growth between (2016 - 2020) 13.38%Total assets growth (2016 - 2020) 42.90%
Kwa faida ya wengi.
Mkuu huyo jamaa ni watu wanao andika uongo hizo takwimu zake sijui kazitoa wapi ili kujenga hoja yake ya kupandisha bei.Unapimaje hasara wakati kuna service imefanyika..., ni sawa sawa useme wewe sababu kila siku unakula basi ni hasara wakati kula kwako wewe ndio kunakufanya upate nguvu za kufanya kazi....
Hata Tanesco ikipata ruzuku kama umeme ni affordable na ni wa kiwango hio ni job well done..., kuunganisha watu wengi hata wakiunganishwa bure hio mwisho wa siku ni investment for future gains..., hao watu wataweza kulipia matumizi ambayo wasingeunganishwa wasingelipa...
Power generation itaongezeka kwa 2100mw baada ya Bwawa la Nyerere wakati sasa hivi peak ilikuwa 1600MW alafu wakati mambo yanataka kukaa sawa ndio tukaribishe watu waje kufaidi faida ambazo kila mwananchi amekuwa na anaendelea kuzigharamikia..., Dawa sio kuwapa wengine dawa ni kuongeza efficient kwa waliopo Au Private sectors watatoa wafanyakazi kutoka Mwezini au Mars na sio hawa hawa ambao sasa hivi tunasema ni wazembe ? (Give them Targets) na Tanesco wapewe meno ya kuwadai / kuwafungia wadaiwa sugu hata kama ni Serikali...
If you want to kill a Dog give it a Bad name....Mkuu huyo jamaa ni watu wanao andika uongo hizo takwimu zake sijui kazitoa wapi ili kujenga hoja yake ya kupandisha bei.
Apparently hizi siku mbili tatu TANESCO wame publish latest statement zao ya mwaka 2019-20 na previous year (may be kwa sababu watu hivi karibuni waligusia kutotoa latest data).
Ukiangalia trend ya faida kila mwaka since Magufuli amekuwa madarakani shirika likikuwa linapunguza kiwango cha hasara kila mwaka atimae mwaka ulioisha wametengeneza faida ya tsh 45 billion.
So strategy ya TANESCO was working pamoja na uzembe wa kuacha fursa za wateja.
Report yote ya mwaka jana hiyo hapo na uwezi kusema ni data za kupikwa kwa sababu mkaguzi wa nje ni ‘Earnest & Young’ ndio alie verify hesabu zao.
Shida iliyopo inawezekana atayekuja atakuwa zaidi ya huyo, baada ya mwaka akamiliki ndege kabisa.Naunga mkono hoja , wafumuliwe wooote kabisa , kuanzia wale wa kwenye system ya LUKU, yaani kajamaa kanafanya kazi hakana hata mwaka mmoja kana ghorofa goba na kanaendesha Vogue , sio sawa TANESCO ni majizi , hili shirika likisimamiwa vizuri ni potential sana kwa nchi basi tu
Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Acha ushabiki maandazi.....una zivu wwHata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
There can be SOME TRUTH in what you are saying and your ANALYSIS AND ANALYTICAL COMPARISON kati ya hayo mashirika ya Umma mawili, BUT SIKUBALIANI NA WEWE juu ya suala la kubinafsisha TANESCO yetu haijarishi iko kwenye hali gani ya kiutendaji na kifedha. NO ubinafsishaji wa TANESCO! Kufanya hivyo ni kukaribisha ufisadi na wizi wa rasilimali zetu ikiwa ni pamoja na KINYEREZI 1-4 na Bwawa la Mwalimu Nyerere la Umeme huko Rufiji (to mention a few strategic investments zinazomezewa mate na MAFISADI, wa nje na wa ndani). It is my hope kuwa HII SI AJENDA ya Waziri Mpya wa Nishati VIA YOU!Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.
Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.
Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....
Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......
View attachment 1954796
Maelezo kwa faida ya wengi
Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...
TANESCO YA UGANDA (UMEME) Revenue growth between (2016 - 2020) 22.28%Total assets growth (2016 - 2020) 19.72%
TANESCO YA TANZANIA Revenue growth between (2016 - 2020) 13.38%Total assets growth (2016 - 2020) 42.90%
Kwa faida ya wengi.
Nami naamini hawa siyo wenye hii ajenda, hawa WAMETUMWA TU kupima maji kwa miguu! Kw mantiki hiyo, nawaasa waangalie hayo maji wanayo ya testi kwa miguu, yasije yakawasomba!Nilitaka kuona point ila baadaye nimegundua kumbe umetumwa.
Ni yule mzee baba late Pombe ndiye anawaumiza kichwa yaani jinsi ya kumuondoa akilini mnashindwa ila mnatumia wrong data kumjengea hoja.
Hakika hataondoka akilini mwenu, labda vunjeni mikataba ya Nyerere Power Plant Dam, SGR, uzeni midege mnayosema inaleta hasara huku mnaongeza mengine, ondosheni elimu bure, vunja daraja la kigongo busisi na Salender, Ondoeni sheria ya makao makuu Dodoma, kesho mkavunje ule uzio pale Malelani, nk.
Baada ya hapo ndipo uanze hizo ngonjera ikiwepo na hilo ka Tanesco ambayo unasema inaboronga kwa sababu ya Magufuri!.
Safi sana, watu hawaangalii hicho, wanalinganisha vile wanavyo penda kuviona. Nimemsoma mdau mmoja hapo juu anailaumu Tanesco ya mwendazake kwamba ilioza??? Nimeshangaa sana; hivi unaweza kulinganisha availability ya umeme wa majumbani enzi za mwendazake na rais gani? Labda Nyerere; miaka yote tulikua na mgao unao zidi masaa 16, sasa hivi umeme unakatika na kurudi fasta. Ukitaka kujua hilo angalia biashara ya majenerata kwasasa linganisha na enzi za marais waliopita ikoje? Obvious kwasasa wafanyabiashara wa vifaa hivyo watakua wanalaumu cause hakuna biashara; kingine ni biashara ya power bank zile tulikua tunachajia simu, mbona ni kama imekufa, nani sasa hivi unamuona anatembea na power bank, mimi nina zaidi ya miaka 5 sijamuona mtu akiwa na simu plus power bank, kipindi cha nyuma ilikua kawaida tu, simu na power bank, maduka ya simu na yenyewe yalikua yanauza simu plus power bank, sasa hivi hiyo biashara ni kama IMEKUFA, kwanini? availability ya umeme ni kubwa; mwendazake alikua na mabaya yake mengi tu but kwa issues za UMEME tunaongea UNAFIKI, the guy was smart on this area, tusidanganyeCha msingi ,mtu aipate huduma ya umeme kwa bei rahisi.
Tz tunanunua unit moja kwa bei rahisi kuliko uganda.na kuunganishiwa umeme ni wastani wa 27,000.kwa hiyo ni bei nafuu kwa mtu wa kawaida.na hilo ndio lengo kuu la huduma za umma
Hi habari nadhani ni wajinga tu ndio wanaweza kuiamini, unless mkuu either ulikua mtoto from Kikwete kurudi nyuma au ulikua nje ya nchi, vinginevyo basi wewe utakua na shahada 3 au PHD ya UONGO. Huwezi kulinganisha availability ya umeme kipindi cha mwendazake na rais yeyote Tanzania hi, labda Nyerere lakini hata Nyerere mwenyewe, ni nyumba ngapi zilikua na umeme? Mgao wa Umeme Tanzania umeanza mwanzoni mwa miaka ya 90, hasa mwaka 92, kila mwaka kumekua na mgao wa umeme ili hali kulikua na wilaya nyingi sana hazina umeme, mshkaji hadi anakufa, alibakiza vijiji vingapi (sio wilaya, vijiji) kua na umeme? Halafu umeme ulikua unawaka muda wote, ukikatika labda ni break down au kuna planned maintanance otherwise watu mnatumia vipaji nyenu vya kudanganya hata mambo ya JUZI tuHata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Well said kila mtu ana mabaya yake lakini dikteta kwenye umeme aliweza snSafi sana, watu hawaangalii hicho, wanalinganisha vile wanavyo penda kuviona. Nimemsoma mdau mmoja hapo juu anailaumu Tanesco ya mwendazake kwamba ilioza??? Nimeshangaa sana; hivi unaweza kulinganisha availability ya umeme wa majumbani enzi za mwendazake na rais gani? Labda Nyerere; miaka yote tulikua na mgao unao zidi masaa 16, sasa hivi umeme unakatika na kurudi fasta. Ukitaka kujua hilo angalia biashara ya majenerata kwasasa linganisha na enzi za marais waliopita ikoje? Obvious kwasasa wafanyabiashara wa vifaa hivyo watakua wanalaumu cause hakuna biashara; kingine ni biashara ya power bank zile tulikua tunachajia simu, mbona ni kama imekufa, nani sasa hivi unamuona anatembea na power bank, mimi nina zaidi ya miaka 5 sijamuona mtu akiwana simu plus power bank, kipindi cha nyuma ilikua kawaida tu, simu na power bank, maduka ya simu na yenyewe yalikua yanauza simu plus power bank, sasa hivi hiyo biashara ni kama IMEKUFA, kwanini? availability ya umeme ni kubwa; mwendazake alikua na mabaya yake mengi tu but kwa issues za UMEME tunaongea UNAFIKI, the guy was smart on this area
Wajinga sana hawa watu, ndiyo wale wanaoandikiwa article wanakuja kifua mbele, wakiulizwa maswali wanakimbilia kwa boss wao kupata jibu.Nami naamini hawa siyo wenye hii ajenda, hawa WAMETUMWA TU kupima maji kwa miguu! Kw mantiki hiyo, nawaasa waangalie hayo maji wanayo ya tessti kwa miguu, yasije yakawasomba!
Aisee, yaani unamsikiliza Mgeni kutoka Galilaya!Nimemnukuu Spika Job Ndugai alivyosema alipokuwa anahitimisha mkutano wa Bunge mwezi June.
Aidha wewe mwenyewe umekiri kuwa kuna baadhi ya vitu havikukaguliwa na CAG. Kwa hiyo hayo majedwali uliyoweka yatumie tu kama course work ya chuo. Ila siyo conclusive kwa kupimia utendaji wa Taasisi