Namba zote za ofisi ya NACTVET hazipatikani na Hii ni ofisi ya umma inayotoa huduma

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Tangu Jana nina tatizo kubwa ambalo nahitaji msaada kwa NACTVET lakini namba zao zote zilizopo kwenye website yao hazipatikani.

Inamaana mimi nitumie nauli kuvuka mikoa kwa mikoa niende ofisini kuulizia kitu tu?

Na hapo nimejaribu hafi kwa njia ya email ila haijajibiwa.

Mkurugenzi wa NACTVET litizame hili, haya ndio yanasababisha ofisi za umma ziwe kero kwa wateja.

Screenshot_20231017-145725_1.jpg
 
Ingekua ofisi binafsi ningeishangaa hii taarufa, ila ofisi zote za umma zina changamoto hii kwa hiyo sio jambo la kushangaza.
 
Ingekua ofisi binafsi ningeishangaa hii taarufa, ila ofisi zote za umma zina changamoto hii kwa hiyo sio jambo la kushangaza
Unafikiri ni kwanini NACTVET asipewe mwekezaji? Maana wazawa hadi vitu vidogo tu hawawezi
 
Hivi mfanya maamuzi wa mwisho juu ya hili suala la uwekezaji ni nqni?
 
Ingekua ofisi binafsi ningeishangaa hii taarufa, ila ofisi zote za umma zina changamoto hii kwa hiyo sio jambo la kushangaza
Sio ofisi zote mkuu.

Kuna kipindi nilikwama kuchukua cheti changu kwa sababu ya deni la ada ambalo HESLEB walikua washalipa. Loan officer alishanipa barua niende loan board Dar, mm nikaona ujinga huu nikazama online Tafuta namba za simu za kanda zote na kuamza kupiga na nikapata outstanding support kutoka kwa almost kanda zote, no. zilikua zinapatikana na wahudumu wanajitahidi kunitafutia suruhu kulingana na ulewa wao mpaka nikajaga kufanikiwa kuchukua cheti.

Nikaja kusema ntaleta uzi humu wa ku acknowledge hawa cervice desk wa HESLEB kwa msaada wao.

So tusiwe negative, kuna baazi ya office/Vitengo serikalini wako vizuri sana kiutendaji mm kwangu hao ilikua ni moja wapo.
 
Una bahati mkuu..!!!
Ofisi zaserikali zilizo nyingi;
1. Hawana mpango na email
2. Hawana mpango na simu
3. Webpage zao nyingi zina contant za zamani sana
4. Simu zilizoandikwa kwenye page zao hazipokelewi au zinapokelewa na watu binafsi wasiohusika na ofisi hizo
 
Back
Top Bottom