Sio ofisi zote mkuu.
Kuna kipindi nilikwama kuchukua cheti changu kwa sababu ya deni la ada ambalo HESLEB walikua washalipa. Loan officer alishanipa barua niende loan board Dar, mm nikaona ujinga huu nikazama online Tafuta namba za simu za kanda zote na kuamza kupiga na nikapata outstanding support kutoka kwa almost kanda zote, no. zilikua zinapatikana na wahudumu wanajitahidi kunitafutia suruhu kulingana na ulewa wao mpaka nikajaga kufanikiwa kuchukua cheti.
Nikaja kusema ntaleta uzi humu wa ku acknowledge hawa cervice desk wa HESLEB kwa msaada wao.
So tusiwe negative, kuna baazi ya office/Vitengo serikalini wako vizuri sana kiutendaji mm kwangu hao ilikua ni moja wapo.