Kuna uzi kama huu uliwekwa kitambo, utafute upate majibu..Wadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF Professor.
Yes11,000 = Elfu kumi na moja
10,001 = Kumi elfu na moja!
Kumi na moja elfu, kumi elfu na moja.11,000=Kumi na moja alfu
10,001=Alfu kumi, na moja
AsanteKumi na moja elfu, kumi elfu na moja.
Nani kasema hizo ni pesa?11000 elfu kumi na moja
10001 elfu kumi na sh moja
Kawaulize AirtelWadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF Professor.
11,000 = Elfu kumi na moja10,001 = Kumi elfu na moja!
Mko sawa kabisa √11,000- kumi na moja elfu10,001- kumi elfu na moja.
10001 elfu kumi na sh moja-nani kakwambia hizo ni pesa? bogas kabisa11000 elfu kumi na moja
10001 elfu kumi na sh moja
11,000 = Elfu kumi na mojaWadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF Professor.
nice11,000 = Elfu kumi na moja
10,001 = Kumi elfu na moja!