Nambari hizi huandikwaje kwa Kiswahili,11,000 na 10,001

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Wadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF Professor.
 
11000 ni elfu kumi na moja
10001 ni elfu na moja ipo hvyo kwa muono wangu mm
 
Wadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF Professor.
Kuna uzi kama huu uliwekwa kitambo, utafute upate majibu..
 
Wadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF Professor.
Kawaulize Airtel
 
11,000 = Elfu kumi na moja

10,001 = Kumi elfu na moja
 
Back
Top Bottom