Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Haahahahahah haweziii tunafanana na mimi tuHv zari hawezi simama straight
Hahaha kenya kalala na jamaa mmoja anaitwa otieno kisa pesa,halaf anatuambia eti tusidange wakatia nadanga kwa vificho yeyeAnatafuta mtoto wa sita!
Ngoja nitumeNaomba nitumie hiyo video nithaminishe
WeweAsee nani anakukojoza
Ana umri sawa na ana makindaHivi Zari ndio spika wa bunge lililopita?
Mkuu, huwa unakunywa balimi?Jamani nimechukuliwa video nacheza kwangaruu wallah nacheza kama zari wakati namchekaaga zari kumbe hata mi sijui kucheza jamani nimesikitaka sanaaaa,japo namzidi lakin tunafanana kucheza nakojoaaaaaaaaaaaaa mimii maji mazitooo,nikajikuta na mimi nimevaa nguo ya mwaka 47 kama yeye jamanik naliaaaaa bosslady mimi navaa nguo za miaka ya zamani ,tisa kumi nimechezaa kama boss lady nafurahi kwelii leoo naanza fanana na bosslady mwenye watoto watano baba tofautiView attachment 776571
Nakunywa konyagiMkuu, huwa unakunywa balimi?
Ndiyo maana.Nakunywa konyagi
Tuma basiNgoja nitume