Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Jamani nimechukuliwa video nacheza kwangaruu wallah nacheza kama zari wakati namchekaaga zari kumbe hata mi sijui kucheza jamani nimesikitaka sanaaaa,japo namzidi lakin tunafanana kucheza nakojoaaaaaaaaaaaaa mimii maji mazitooo,nikajikuta na mimi nimevaa nguo ya mwaka 47 kama yeye jamanik naliaaaaa bosslady mimi navaa nguo za miaka ya zamani ,tisa kumi nimechezaa kama boss lady nafurahi kwelii leoo naanza fanana na bosslady mwenye watoto watano baba tofauti
Simcheki tena anavyocheza kama mimi tu tofauti mimi sijapanga south
Basi nawaona kina fulan wakitoa povuu
Simcheki tena anavyocheza kama mimi tu tofauti mimi sijapanga south
Basi nawaona kina fulan wakitoa povuu