Mkuu labda mimi ndo sijaweka vizuri hiyo statement, alikuwa anamaanishahuyo ambaye angemuoa, angetongozewa?
32(umri alionao sasa) - 10(aliyokuwa anajichua) = 22(ndio umri aliotaka kuoa nao wakati huo)Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................
Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........
Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?
Akiwa na 22 ndo kaanza kuji.... lakini sina uhakika kama ndio umri huo aliotaka kuoa32(umri alionao sasa) - 10(aliyokuwa anajichua) = 22(ndio umri aliotaka kuoa nao wakati huo)
Baba yake alikuwa sahihi kabisa kumkataza kuoa kwa wakati huo, miaka 22 kwa hapa Bongo ni umri wa kuwa shule na/au kujijenga kimaisha
Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................
Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........
Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?
Mkuu labda mimi ndo sijaweka vizuri hiyo statement, alikuwa anamaanisha
kutongoza kwa lengo la kwenda kuzini yaani nje ya ndoa na si kwa lengo la
kuoa! Yaani alichoogopa ni kule kuonekana muovu wakati ni msaliji mzuri!
Kwani ukikosa hiyo kitu kuna tatizo gani? kwani ni Lazima? Ziko burudani nyingine kama kulaAisee pole sana. Bora uwe kilema kuliko kushindwa kunanilii.
Hapo kwenye red sijakuelewa kaka.kama sio uongo anaeleza huyu jamaa basi anapoteza kumbukumbu mapema sana na kama hapotezi kumbukumbu basi alianguka dhambini na kama alianguka dhambini basi kutokana na wasiwasi lazima angeshindwa kufunction kutokana na uoga ambao ulikuwa umemjaa. Kwa maana hiyo aache kumlaumu Baba yake ajipange tu atakuwa anapiga mzigo fresh
weee me nikiweeka tu huwa sikatai si wanguUjirani mwema ukipachika mimba unakataa mpaka tuende kwenye DNA ndo ujirani gani huo. Yaani ni MIKATABA FEKI tu iliyojaa kwenye huo unaoita ujirani mwema.
Hilo ndo neno linalotumika kumbe unalijua vizuri!weee me nikiweeka tu huwa sikatai si wangu
Kwani ukikosa hiyo kitu kuna tatizo gani? kwani ni Lazima? Ziko burudani nyingine kama kula
Muziki n.k. Hiyo kitu haina umuhimu kiasi cha kuona bora uwe mlemavu. Nikuulizeni swalio moja tu
Labda umekamatwa na majambazi wanataka wakukate mkono wa kulia au wakuchome sindano
ambayo itazuia usinanihii maisha yako yote kipi bora?
Ha ha ha haaaa, Mkuu umenichekesha sana!bora kukatwa mkono wa kulia aisee. Wewe acha utani, muziki na kula vitakupa mtoto? Utapata familia? Ahhh, tusidanganyane Mcharuko. Mapenzi yana raha yake. Kwani huyo jamaa ameshindwa kula? Amesindwa kusikiliza mziki? Unafikiri nini nimemsukuma akaamua kulalamika? Kula kuna nafasi yake, mziki una nafasi yake na mapenzi yana nafasi yake.
ishii! Jamaa jinga kweli,mbona vijana weng wanapiga mechi za ugenini..tena baba wakari watoto wao ndio kizazaa mtaani.huyo jamaa puchu/mgalala umemwaribia mashine..kwa kifupi mashine kwisnei imenoki.
Binti umenikuna sana mpaka nimekunika. Safari yangu itakuwa nzuri maana najiandaa
niko safarini NITAKUPM Kuna kitu nataka kukuuliza nitakutumia namba ya simu naomba
unibeep nitakupigia!