Namchukia baba yangu!

Namchukia baba yangu!

huyo ambaye angemuoa, angetongozewa?
Mkuu labda mimi ndo sijaweka vizuri hiyo statement, alikuwa anamaanisha
kutongoza kwa lengo la kwenda kuzini yaani nje ya ndoa na si kwa lengo la
kuoa! Yaani alichoogopa ni kule kuonekana muovu wakati ni msaliji mzuri!
 
Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................

Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........

Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?
32(umri alionao sasa) - 10(aliyokuwa anajichua) = 22(ndio umri aliotaka kuoa nao wakati huo)

Baba yake alikuwa sahihi kabisa kumkataza kuoa kwa wakati huo, miaka 22 kwa hapa Bongo ni umri wa kuwa shule na/au kujijenga kimaisha
 
mzazi hana kosa, ushauri wake ulikuwa mzuri tu, tatizo ni pale ulipoanzisha mazoezi ya kupi... kwani hata klabu za soka zikifanya mazoezi si zinapiga mechi, ww uling'ang'ania mazoezi bila mechi mpaka mtambo ukakata network, pole.
 
32(umri alionao sasa) - 10(aliyokuwa anajichua) = 22(ndio umri aliotaka kuoa nao wakati huo)

Baba yake alikuwa sahihi kabisa kumkataza kuoa kwa wakati huo, miaka 22 kwa hapa Bongo ni umri wa kuwa shule na/au kujijenga kimaisha
Akiwa na 22 ndo kaanza kuji.... lakini sina uhakika kama ndio umri huo aliotaka kuoa
au ni zaidi ya hapo.
 
Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro
ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................

Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........

Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?

Mkuu labda mimi ndo sijaweka vizuri hiyo statement, alikuwa anamaanisha
kutongoza kwa lengo la kwenda kuzini yaani nje ya ndoa na si kwa lengo la
kuoa! Yaani alichoogopa ni kule kuonekana muovu wakati ni msaliji mzuri!

kama sio uongo anaeleza huyu jamaa basi anapoteza kumbukumbu mapema sana na kama hapotezi kumbukumbu basi alianguka dhambini na kama alianguka dhambini basi kutokana na wasiwasi lazima angeshindwa kufunction kutokana na uoga ambao ulikuwa umemjaa. Kwa maana hiyo aache kumlaumu Baba yake ajipange tu atakuwa anapiga mzigo fresh
 
Aisee pole sana. Bora uwe kilema kuliko kushindwa kunanilii.
Kwani ukikosa hiyo kitu kuna tatizo gani? kwani ni Lazima? Ziko burudani nyingine kama kula
Muziki n.k. Hiyo kitu haina umuhimu kiasi cha kuona bora uwe mlemavu. Nikuulizeni swalio moja tu
Labda umekamatwa na majambazi wanataka wakukate mkono wa kulia au wakuchome sindano
ambayo itazuia usinanihii maisha yako yote kipi bora?
 
kama sio uongo anaeleza huyu jamaa basi anapoteza kumbukumbu mapema sana na kama hapotezi kumbukumbu basi alianguka dhambini na kama alianguka dhambini basi kutokana na wasiwasi lazima angeshindwa kufunction kutokana na uoga ambao ulikuwa umemjaa. Kwa maana hiyo aache kumlaumu Baba yake ajipange tu atakuwa anapiga mzigo fresh
Hapo kwenye red sijakuelewa kaka.
 
Ujirani mwema ukipachika mimba unakataa mpaka tuende kwenye DNA ndo ujirani gani huo. Yaani ni MIKATABA FEKI tu iliyojaa kwenye huo unaoita ujirani mwema.
weee me nikiweeka tu huwa sikatai si wangu
 
ishii! Jamaa jinga kweli,mbona vijana weng wanapiga mechi za ugenini..tena baba wakari watoto wao ndio kizazaa mtaani.huyo jamaa puchu/mgalala umemwaribia mashine..kwa kifupi mashine kwisnei imenoki.
 
ukiona mtu anaweka title ya namna hiyo au anasema hayo kwenye public halafu anaweka content shallow namna hiyo kama sababu ya chuki basi ujue kabisa huyo jamaa ana matatizo zaidi ya hayo but is full of denials and is looking to blaming someone else
 
tatizo yeye mwenyewe nasio lawama kwa baba sasa kama baba anaona mpk muda unaenda kumwambia unataka kuoa hujielewi hiv atakushaur nin nayeye alivyomjinga hata hajiongezi angekuwa anajitegemea nakusimama kwa miguu yake mzazi wake angesemea wap sasa kama unaoa baba akutunze wewe na mkeo unafikiri atasemaje jipange kwanza kwa hiyo hata asimlaum mzee wa watu
 
Kwani ukikosa hiyo kitu kuna tatizo gani? kwani ni Lazima? Ziko burudani nyingine kama kula
Muziki n.k. Hiyo kitu haina umuhimu kiasi cha kuona bora uwe mlemavu. Nikuulizeni swalio moja tu
Labda umekamatwa na majambazi wanataka wakukate mkono wa kulia au wakuchome sindano
ambayo itazuia usinanihii maisha yako yote kipi bora?

bora kukatwa mkono wa kulia aisee. Wewe acha utani, muziki na kula vitakupa mtoto? Utapata familia? Ahhh, tusidanganyane Mcharuko. Mapenzi yana raha yake. Kwani huyo jamaa ameshindwa kula? Amesindwa kusikiliza mziki? Unafikiri nini nimemsukuma akaamua kulalamika? Kula kuna nafasi yake, mziki una nafasi yake na mapenzi yana nafasi yake.
 
Ha ha ha haaaa, Mkuu umenichekesha sana!
 
ishii! Jamaa jinga kweli,mbona vijana weng wanapiga mechi za ugenini..tena baba wakari watoto wao ndio kizazaa mtaani.huyo jamaa puchu/mgalala umemwaribia mashine..kwa kifupi mashine kwisnei imenoki.

Mjinga kweli! alishindwa ht KUBAKA!
 
Mwambie ajiulize kilichompatia nguvu za kwenda danguroni na kilichomtisha huko danguroni otherwise Baba hana kosa. Haiwezekani mtu akaogopa kukidhi haja yake mafichoni kisa ameambiwa ajijenge kwanza. Angeambiwa wanawake wote wagonjwa au wananyionya damu ningewezamuelewa kwa kuunganisha na kushindwa kwake kupanda.

Hebu aje nimkague!
 
Nona unataka BAN
Binti umenikuna sana mpaka nimekunika. Safari yangu itakuwa nzuri maana najiandaa
niko safarini NITAKUPM Kuna kitu nataka kukuuliza nitakutumia namba ya simu naomba
unibeep nitakupigia!
 
Hilo jamaa **** kweli, limeshazoea kupiga miti mikono yake mwenyewe aache ujinga wa kumlaumu dingi. Mpaka sasa anaishi kwao namshangaa
 
Back
Top Bottom