Namchukia sana Balozi Humphrey Polepole. Ananigombanisha na Chama sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole.

Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia fursa na wanasaidia Vizazi na vizazi vyao huko mbeleni. Natakiwa nijifunze kuwa kama wao.

Sipaswi kuwachukia hao watu na kukichukia Chama changu ambacho nami si haba kimenipa fursa ni mwambata. Si haba napanda panda sana ndege kipindi hiki. Napaswa nishukuru sana. Maana vijicent napata kwa urefu wa kamba yangu. Ikirefuka inshallah nami uwanja wa kula utaongezeka.

Polepole hapaswi kutuambia hayo maneno ya kutufanya tujue mambo ambayo tusipoyajua ni bora zaidi. Watu tupo busy na ujenzi wetu anakuja leta habari za kiduanzi. Habari ngumu ngumu?

Habari za kufaa ni mtu flani anatembea na nani, connection, nani kanunua nini, nani anasemaje ndo habari za kuleta upendo na mshikamano.

Kama kuna connection watu huwa tunapeana sana. Tunashirikishana mambo kama hayo ya msingi. Ya kushare kuhusiana na videos kuvuja na picha hiyo ni nzuri hayo mambo yanaleta umoja na mshikamano.
 
Mshikamano wa kuliangamiza taifa kwa manufaa ya wachache ni haramu.
 
Hii ni hatua ya awali kwa reform za kitaifa alafu ndo Chama (ufahamu) nilazima tufahamu makosa yako wapi ili tujue tunarekebisha nini ili tutengeneze uongozi wa maana pia kupunguza nguvu ya deep-state kiaina japokuwa huezi iondoa Ila tutapunguza
 
Naomba wanahitaji t-shirts na caps zenye picha hii kwa mbele waweke oda kisha mtu achapishe na kuuza kwa bei nafuu.
Kama yupo mtu anachapisha aweke hapa jinsi ya kuzipata.
Mkuu unaonaje ukafungua Uzi mpya kuhusu Jambo hili, Mimi nahitaji t-shirt 3 fasta,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…