Namdai mtu nashindwa kumchukulia hatua

Namdai mtu nashindwa kumchukulia hatua

ISIMBA

Senior Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
144
Reaction score
30
Habari za mida wakubwa, naomba kusaidiwa katika hili.
Kuna rafiki yangu mmoja ambaye tulikua tukifanya biashara pamoja na kutokea kuaminiana sana, kuna kipindi biashara yake iliyumba kidogo ikabidi anikope mimi hela, nilimkopesha shilingi laki nne bila mshahidi wala kuandikisha popote kutokana na kumuamini sana. Kwa sasa jamaa amebadilika na amekua mtu wa kunizungusha na promise zisizokua na ukweli. Umepita muda mrefu kidogo sasa na dalili za kulipwa sizioni.
Nataka kuchukua hatua za kisheria ila nashindwa kujua nianzie wapi kwa sababu tulipeana hela bila shahidi, napata wasiwasi kwamba anaweza kunikana.
Naomba ushauri wenu wakubwa, ni hatua gani naweza kufata ili nipate haki yangu kisheria? Kumbuka nilimpa hela bila shahidi wala kuandikishiana popote. Msaada tafadhali...
 
Kwa sababu hakuna mkataba wa maandishi wala shahidi,kupata haki apo haiwezekani. Ni mpaka aamue kukulipa mwenyw kama ulichukua hela ya biashara ukamkopesha iyo i write off, treat kama bad debt,, siku nyingine kabla hamhakopeshana na mtu mwingine hakikisha kunakuwa na mkataba na mwanasheia akati mnakopeshana ..pole sana!
 
Oh, my God..!
 
Habari za mida wakubwa, naomba kusaidiwa katika hili.
Kuna rafiki yangu mmoja ambaye tulikua tukifanya biashara pamoja na kutokea kuaminiana sana, kuna kipindi biashara yake iliyumba kidogo ikabidi anikope mimi hela, nilimkopesha shilingi laki nne bila mshahidi wala kuandikisha popote kutokana na kumuamini sana. Kwa sasa jamaa amebadilika na amekua mtu wa kunizungusha na promise zisizokua na ukweli. Umepita muda mrefu kidogo sasa na dalili za kulipwa sizioni.
Nataka kuchukua hatua za kisheria ila nashindwa kujua nianzie wapi kwa sababu tulipeana hela bila shahidi, napata wasiwasi kwamba anaweza kunikana.
Naomba ushauri wenu wakubwa, ni hatua gani naweza kufata ili nipate haki yangu kisheria? Kumbuka nilimpa hela bila shahidi wala kuandikishiana popote. Msaada tafadhali...

Mwandikie barua kuwa unamdai shs laki 8 (hapa lazima ule dili na mwanasheria kidogo! kiwango ambacho si halisi), yeye nae kwa kuona kuwa amezidishiwa pesa anazodaiwa, ataandika barua kwa kukana madai yako na kuandika kiwango halisi unachomdai ambacho ni shilingi laki nne!

Hapo atakuwa ametengeneza kitanzi chake mwenyewe ambacho ni written evidence! chukua fursa hapo kwa huo ushahidi wake, nenda mahakamani uchukue hatua za kisheria!

halafu akishakulipa tu, hakikisha unanitumia shs 15,000 ya consultation!

Think big!
 
kama na yy yupo jf halafu kaisoma hii mbinu itakuwaje?
 
Atasanda tu! sheria haina kifua! muhuri ukishaonekana tu halafu aambiwe ajibu kwa maandishi mbona kitanuka!
ISIMBA fanya kama alivyosema Excel hapo juu!

Mjini shule kaka, usikubali kushindwa kirahisi rahisi tu...!
 
Last edited by a moderator:
Mwandikie barua kuwa unamdai shs laki 8 (hapa lazima ule dili na mwanasheria kidogo! kiwango ambacho si halisi), yeye nae kwa kuona kuwa amezidishiwa pesa anazodaiwa, ataandika barua kwa kukana madai yako na kuandika kiwango halisi unachomdai ambacho ni shilingi laki nne!

Hapo atakuwa ametengeneza kitanzi chake mwenyewe ambacho ni written evidence! chukua fursa hapo kwa huo ushahidi wake, nenda mahakamani uchukue hatua za kisheria!

halafu akishakulipa tu, hakikisha unanitumia shs 15,000 ya consultation!

Think big!

akikataa hadaiwi chochote?
 
akikataa hadaiwi chochote?

mkuu mapi, lugha ya sheria ni ngumu sana, endapo utapata mwanasheria anayejua jinsi ya kukujenga kisaikolojia mpaka ukakubali kosa lako itakuwa vizuri sana....

Katika sheria kuna lugha ambazo zinaweza kumsukuma mtu mpaka akakubali kosa ama kulikataa, in law, hatuangalii mtu miguuni.. it is a face to face conversation!..

Si rahisi kukataa hata kidogo kwa hii mbinu niliyompa ISIMBA...

Jambo la msingi hapo ni kumwandaa mwanasheria na pesa ya malipo mazuri tu!

kazi itafanyika vizuri bila shida.. na pesa itarudi..
 
mtu mwenyewe anadai laki nne..malipo mazuri kwa mwanasheria yatakuwa shlingi ngapi vile
 
Mwandikie barua kuwa unamdai shs laki 8 (hapa lazima ule dili na mwanasheria kidogo! kiwango ambacho si halisi), yeye nae kwa kuona kuwa amezidishiwa pesa anazodaiwa, ataandika barua kwa kukana madai yako na kuandika kiwango halisi unachomdai ambacho ni shilingi laki nne!

Hapo atakuwa ametengeneza kitanzi chake mwenyewe ambacho ni written evidence! chukua fursa hapo kwa huo ushahidi wake, nenda mahakamani uchukue hatua za kisheria!

halafu akishakulipa tu, hakikisha unanitumia shs 15,000 ya consultation!

Think big!

Kama ni kumkata pia anaweza kumtrick kwa kumpigia simu na kumrecord,,,,,au hii imekaaje
kisheria!??
 
Mwandikie barua kuwa unamdai shs laki 8 (hapa lazima ule dili na mwanasheria kidogo! kiwango ambacho si halisi), yeye nae kwa kuona kuwa amezidishiwa pesa anazodaiwa, ataandika barua kwa kukana madai yako na kuandika kiwango halisi unachomdai ambacho ni shilingi laki nne!

Hapo atakuwa ametengeneza kitanzi chake mwenyewe ambacho ni written evidence! chukua fursa hapo kwa huo ushahidi wake, nenda mahakamani uchukue hatua za kisheria!

halafu akishakulipa tu, hakikisha unanitumia shs 15,000 ya consultation!

Think big!

Nimekusoma sana mkubwa Excel ila siku hizi mawasiliano ya barua sio sana, huoni kwamba anaweza asijibu barua yangu...?
 
Hujamsoma Excel bado.
Anamaanisha umwandikie demand letter/notice, kupitia mwanasheria...hiyo lazima ijibiwe kwa jinsi inavyodraftiwa.
pita kwa mwanasheria...ndio kazi zao....wanaelewa what to do.
Lawyers communicate through papers hivyo usihofu kuwa barua haitajibiwa.
 
Mkuu hii si kama barua za kawaida kama hizi barua za kutumia kwa p.o box, bali hii ni barua maalum kutoka kwa mwanasheria itakayomtaka bwana X either kukubali kuwa anadaiwa kiasi Y kilichotajwa kwenye demand notice ama kukana.. (na hapo kwenye kukana ndipo atakapotaja hasa nini anadaiwa!)..

Usihofu, jifunze sasa lugha na mitego ya kisheria zaidi..
 
Nimekusoma sana mkubwa, thanks let me try it...
 
Hujamsoma Excel bado.
Anamaanisha umwandikie demand letter/notice, kupitia mwanasheria...hiyo lazima ijibiwe kwa jinsi inavyodraftiwa.
pita kwa mwanasheria...ndio kazi zao....wanaelewa what to do.
Lawyers communicate through papers hivyo usihofu kuwa barua haitajibiwa.

am now awere mkubwa, thanks...
 
Back
Top Bottom