TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
Heshima yenu ndugu zangu humu ndani....
Mimi namdai mtu pesa yangu kwa muda mrefu, amekataa baadhi ya pesa nakukubali kias kidogo cha pesa kati ya zile nilizomkopesa.
Mchezo wenyewe nihuu, nilimuazima milioni tatu mwaka Jana akiwa na shida kubwa sana. Sasa alipotatua shida yake hiyo ndipo filigisu zikaanza. Kalenda sio kalenda, chenga sio chenga tangu November mwaka Jana.
Sasa nimeamua kumpeleka mahakamani mwezi wa sita mwaka huu baada ya uvumilivu kufikia mwisho.
Alivyo jeuri, mahakamani aliiambia namdai 2.1M(nilistaajabu mno). Kwamba eti iyo laki Tisa keshanipa wakati niuongo. Nyaraka zote ninazo na nimewasilisha.
Tuliamriwa kuleta mashahidi. Mimi nimeshamaliza hilo, shahidi alomsema yeye amekwishahama mjini kwetu hapa na hana mawasiliano naye wala hajui alipo, eti anaendelea kumtafuta.
Nduguzangu, just imagine tangu mwezi wa saba hadi Leo hii kesi inaahirishwa kisa shahidi wake hajapatikana. Na mambo yangu yameyumba siwezi kuwahadisia hapa.
Hivyo, naombeni msaada wenu jamani. Nimetafakari sana ndo nikakumbuka watu wengi huponea humu JamiiForum. Naombeni msaada wenu tafadhali, NIFANYEJE???