Namdai mtu pesa na mahakamani tumefika lakini hukumu inachelewa

Kwa njia ya udanganyifu halafu ikawaje kuwa alikudanganya ukampa pesa sawa mahsahidi wapo wapi,si ndiyo ingerudi huko huko maana jamaa anasema shahidi anaye ila yupo mbali
Ukimstaki kwakosa hili inakiwa ni kesi ya jinai na siyo madai. Kesi ya jinai hukumu yake ni adhabu ya kifungo hivyo mdaiwa ataishiwa kufungwa na mdai hatapata chochote.
 
Sahihi. Ndo maana nikamsaidia maelezo kuwa ni kesi ya "wizi wa kuaminiwa"
 
Back
Top Bottom