Msanii wa Kenya Nameless amefikisha miaka 25 katika safari yake ya muziki, akiwakumbusha Wakenya nyimbo zilizotawala redio, sherehe na maisha yetu kwa zaidi ya miongo miwili.
Kutoka Ninanoki, Salari, Butterfly hadi Amenipenda, Nameless amekuwa sehemu ya kumbukumbu za vizazi tofauti vya mashabiki wa muziki wa Kenya.
Lakini kati ya nyimbo zake nyingi, ni upi uliokuwa iconic kwako? 🎶
Kwangu mimi, ilikuwa “Amenipa Juju, oh oh! 😂❤️
Sasa ni zamu yako: Ni wimbo gani wa Nameless unaokukumbusha enzi fulani ya maisha yako? Na kwa nini?