Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

Umeanza kwa kuonyesha udhaifu, umepunguza sifa kubwa ya MWANAUME.
Binadamu ana sifa ya udhaifu..
Kama sio hili basi litakuwa lile,Kwa kuuonesha ama kuuficha ila lazima anao
 
Mtafute Ofisini kwao mikocheni. Mvizie SAA 11 jioni.
 
Tangaza ndoa tupo nyuma yako kukuchangia michango yote mpaka ya honeymoon.Hongera kutoa yako ya moyoni japo upo nyuma ya keyboard


Pilato 007
 
Penzi haliaangalii aina ya maisha unayoishi mkuu..maadamu mlengwa akuridhie tu..kama vp mfate maana pale ofisini kwake sio mbali hah hah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…