cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
- Thread starter
- #41
Kadi utapata mkuu omba mungu awe wangKila LA kheri Mkuu usisahau kunipa kadi
Pilato 007
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadi utapata mkuu omba mungu awe wangKila LA kheri Mkuu usisahau kunipa kadi
Pilato 007
Hauwezi kuona urembo wa mrembo mwenzako urembo wake uulizie kwetu sisi vijana.Urembo wake mbona mimi sijauona mkuu
yeah hapo cha msingi awe tu na nguvu za kiume za kutoshaKitu muhimu ni uwe na 'NGUVU ZA KIUME'(siyo zile za kunyanyua vyuma au kula supu ya pweza) ukiwa nazo hizo huna haja ya kuja hata kusema hapa.......akisoma mumala mara 2,3, mwenyewe ataomba appointment nawe na hapo itakuwa ni juu yako utakavyopenda kutii kiu yako...hila nasisitiza NGUVU ZA KIUME ni muhimu sana kwa viumbe hawa!
AlafuMtafute Ofisini kwao mikocheni. Mvizie SAA 11 jioni.
Sawa mkuu ngoja nijipangeUkitaka cha uvungu shurti uianame. Mfungie safari bwana! Ndo ataamini umemlove.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji8] [emoji7]Umeanza kwa kuonyesha udhaifu, umepunguza sifa kubwa ya MWANAUME.
Usituangushe bhana. Roho ikipenda hairudi nyuma.
Nipo mkoani mkuuMimi naomba umfuate hapo ITV sio mbali kama wewe nawe Ni mwanaume Wa dar ka mm!!!
DJ sepetu
Siku hiz dunia kijiji tafuta mawasiliano yake either fb insta or twitter!
Mwanaume mashine.Umeanza kwa kuonyesha udhaifu, umepunguza sifa kubwa ya MWANAUME.
Kwani dunia ya siku hizi kuna watu wako single?sidhani aisee mtoto mkali kama huyo akose jamaa wa kuwa nae
Pole sana mkuu na hongera kwa kutumia njia hii kuwasilisha ya moyoni mwako!Wataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.View attachment 582615
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndugu kwa ushauri wakoPole sana mkuu na hongera kwa kutumia njia hii kuwasilisha ya moyoni mwako!
Kosa tu ni moja,HUKUJIAMINI KAMA MWANAUME!
Siku zote mwanaume ndio mfalme wa pori(simba)na ndio maana mwanamke hawezi ishi bila mfalme!so ujasiri na juhudi zako ndio mtaji wako.Unaweza kumpata mwanamke yoyote ukiwa na huo mtaji!
Mwanaume wa DSM. Chips yai mishkaki maji jero na karanga za buku.Mimi naomba umfuate hapo ITV sio mbali kama wewe nawe Ni mwanaume Wa dar ka mm!!!
DJ sepetu