Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.



 
Kuna Kipindi Huku January Makamba Alikuwa Anaonekana Anafaa Kuwa Rais Wa Hii Nchi, Hivi Mpaka Sasa Kuna Watu Bado Wanaamini Hivyo?
 
Nilivyo ona tuu january kakabidhiwa wizara ya nishati tuuu nikajua waTz tumekwisha yaani li fisi linakabidhiwa bucha, sasa tujiandae kuyabeba madeni yoote ya michongo aliyo yasahau mkwere kwenye ile awamu ya mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…