Namfananisha Shilole na Dokii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alichipukia binti mwenye kipaji cha kuigiza akiweza kuigiza vema kama mkenya kutokana na lafudhi aliyokuwa anatumia huyo alikuwa Ummy Wenslaus a.k.a Dokii

Lakini kwa jinsi alivyopanda haraka kwenye jukwaa la umaarufu rangi zake halisi zikaanza kujionyesha
Ikawa skendo haziishi magazetini lakini vilevile ikawa ni dhahiri kuwa anaweza kufanya chochote kiwe kizuri au kibaya almradi tu apate achakacho hasa umaarufu

Mengine aliyoyafanya Dokii ni ya kudhalilisha utu na hadhi yake lakini hilo kwake halikuwa hoja
Ninapomwangalia Shilole na mambo afanyayo naona ni copyright ya Dokii
 
Kama mpenzi wako ni Shilole unahitajika moyo wako uwe unautunza kwenye frijii! !!
 
mbona hiyo ni general tu kwa karibu wasanii wote wa kike..

ni wachache sana wanaojiheshimu kama monalisa na mama yake na batuli.

wengineo wengi wamebaki kupiga picha viuno vyao na kutu-tag tuviangalie bila kulipia.
 
Huko alikojitumbukiza Dokii kwa sasa ndo kajiharibia sana maana hao anaowasadia hawathamini mtu wala utu. Halafu kachoka ile mbaya.
 
Huko alikojitumbukiza Dokii kwa sasa ndo kajiharibia sana maana hao anaowasadia hawathamini mtu wala utu. Halafu kachoka ile mbaya.

We dadaako hajachoka? Au dada yako ni mwanaume?
 
We dadaako hajachoka? Au dada yako ni mwanaume?
Kama wewe ni Dokii, pole sana dada kwa sababu umejitumbukiza kwenye shimo la nyoka wenye sumu kali. Pole sana dadangu!
 
Mmh wee jamaa hutufai jamvini sasa dadaake hapa anahusika vp ?
Huyu ni Dokii mwenyewe ndiye kaandika aliyoyaandika.Kwa nini mtu wa pembeni atoe maneno makali hivyo? Ya Dokii yanamhusu?
 
Kipindi fulani nilisikia ameokoka, kumbe zilikua harakati za kutafuta kipato.

Jana nimemwona kwenye tv anavyokata mauno huko kalenga nikabaki mdomo wazi.!
 
Huyu ni Dokii mwenyewe ndiye kaandika aliyoyaandika.Kwa nini mtu wa pembeni atoe maneno makali hivyo? Ya Dokii yanamhusu?

Huyu sio dokii huyu jamaa ni mtukanifu kuna post moja nafikiri iko MMU inahusu phd au kipaji jamaa kamkashifu babaake na mtoa mada
 
Huyu sio dokii huyu jamaa ni mtukanifu kuna post moja nafikiri iko MMU inahusu phd au kipaji jamaa kamkashifu babaake na mtoa mada
Asante kwa kunijulisha@mshana jr. Aina ya watu hawa ni kuwatumbukiza kwenye kapu la ignorelist haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…