Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alichipukia binti mwenye kipaji cha kuigiza akiweza kuigiza vema kama mkenya kutokana na lafudhi aliyokuwa anatumia huyo alikuwa Ummy Wenslaus a.k.a Dokii
Lakini kwa jinsi alivyopanda haraka kwenye jukwaa la umaarufu rangi zake halisi zikaanza kujionyesha
Ikawa skendo haziishi magazetini lakini vilevile ikawa ni dhahiri kuwa anaweza kufanya chochote kiwe kizuri au kibaya almradi tu apate achakacho hasa umaarufu
Mengine aliyoyafanya Dokii ni ya kudhalilisha utu na hadhi yake lakini hilo kwake halikuwa hoja
Ninapomwangalia Shilole na mambo afanyayo naona ni copyright ya Dokii