Waandishi wa habari wa Tanzania siku zote ni mambumbumbu when it comes to mpira, wao wanafikiri mpira unachezwa magazetini. Mpira wa Yanga siku zote unahamuliwa magazetini na waandishi wao wa habari wasiojuwa mpira. Kiko wapi sasa, yaliyo andikwa tofauti na kilichotokea. Mabidilikeni jamani, mnachosha.