Namfua: Singida United imefuzu kwa kuichabanga Yanga goli 4 kwa 2 kombe la shirikisho

Namfua: Singida United imefuzu kwa kuichabanga Yanga goli 4 kwa 2 kombe la shirikisho

Waandishi wa habari wa Tanzania siku zote ni mambumbumbu when it comes to mpira, wao wanafikiri mpira unachezwa magazetini. Mpira wa Yanga siku zote unahamuliwa magazetini na waandishi wao wa habari wasiojuwa mpira. Kiko wapi sasa, yaliyo andikwa tofauti na kilichotokea. Mabidilikeni jamani, mnachosha.
Yanga.jpg
 
Leo Kweli Amani! [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kagegedwa! Chelshit Kabakwa.. teh teh teh teh teh teh teh 😀 😀
 
Eti yaichabanga nimekumbuka vichwa vya habari magazetini zamani[emoji3] [emoji3]. Inaonyesha we ni shabiki usiye Wa Yanga
 
Back
Top Bottom