Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini.

Kama akitokea Mtanzania mwema na akaandaa mpango Maalum labda wa Kumchangia Fedha Chid Benz zimsaidie kurudisha Maisha yake na awe vyema na apate Tiba nzuri kama ana tatizo lolote la Kiafya au apate Msaada wa Counselling awe vyema kabisa basi GENTAMYCINE nami nitachangia nilichojaaliwa nacho.

Nitoe pia Pongezi kwa Serikali na Wengineo wote ambao walimsaidia na wanamsaidia sasa. Mungu awabariki nyote.
 
Back
Top Bottom