Namfukuzaje mjomba

Dah ndugu yangu hili nalo ni tatizo au wewe unataka liwe tatizo? Maana unavyoendelea kutumia makalio badala ya kichwa naona unaenda haribu mahusiano na ndugu zako kisa Mali ambazo Dingi alikufa akaziacha. Ni kweli hupendi kurudishwa nyuma na huyo anko ila najiuliza kama wewe uliaminika hadi kukabidhiwa Mali unashindwaje kula na kipofu??
 
Mkuu mimi sina cha kukushauri ila mwambie mama akitaka kunywa sumu aje inbox nimuuzie sumu ya panya og hiyo ni dakika 10 tu kifo hiki hapa hata unywe maziwa ya ngamia roho hairudi.
Dah[emoji38][emoji38]
 
Fukuza huyo mjomba, mama hawezi kunywa sumu, niamini.
 
Hadi hapo hakuna biashara, magari yanaenda kupaki sio muda mrefu halafu dizaini, Bibi mkubwa kapigwa kitu kizito na mdogo wake au kamdekeza Sana au Bimkubwa anahela za kutosha so haoni risk zitakazokuja mbele kutokana na uzembe, ujinga wa mjomba.
 
Simama kama mwanaume, kwani akijiua yeye ndio atakuwa wa kwanza kufa?
 
Fata huu ushauri, full stop
 
Bimdashi wako anatenda yote hayo na kamjomba boy kuwahujumu ma bro zako
 
" Tafuna jongoo " fanya maamuzi magumu. Mama ako hawezi kunywa sumu kwa sababu ya mdogo wake never.
 

Bro nimesoma uzi wako ngoja nikushaur kitu.
Hapo kazi ilipofikia ni wakat wa wewe kufanya shughuli yako binafs. Hiyo ni ishara Mungu anakupa ya kufanya ile kitu inaitwa agano la asili. Shida ya hiyo kazi yako ni kuwa mbeba maono na watafsiri maono hamuendani so chakufanya. Itisha kikao cha familia nzima weka meza mpango mkakati wako na watu unaotaka kufanikisha nao huo mpango. Sasa unasema kuna mawili ni au waupitishe au wakugawie chako uanze fresh. Mzee usimuangalie Mama cjui mtu unavyotaka kuitafuta kesho ya watoto wako waachie wafu wazike wafu wao. Huwez kufungiwa nira na wasio amin mzee. Waache wafu wazike wafu wao. Baada ya hapo jitahd ufunge vioo na uwe na sura ngumu ukomae miaka 10 watakutafuta wote
 
Watu kama nyinyi wameadimika hapa jamvini .

Hongera una kichwa kizuri bila shaka hunywi pombe
 
Huwa nadhan kuandika jambo ukiwa upsets hata kama una taaluma ya kiasi Gani huwez kufit kweny principles za uandish kwa 100% ....mostly unakuwa unaandika kwa hisia zaid ya kutumia akili....msamehe mkuu
Unajua humu watu hawajui tu, kuna hali unapitia sasa katika kuelezea unajikuta unaandika tu unaandika tu huku machozi kwa mbaliii ,ilishawahi kunikuta humu nilipotoa la moyoni nikitegemea unafuu wa moyo ila wengi wakaangukia huko kwenye uandishi wangu .
 
Bela Mwanyaluke hizo biashara unafanyia kutokea Mbeya, Njombe, Mafinga au Makambako ili nikushauri vizuri cha kufanya?
 
Kuna kampuni moja ya mabasi ilikufa kwa sababu ya mama kukataa mtoto wa kambo kusimamia mabasi eti asimamie mtoto wake ambae hana hata chembe ya uelewa.

Tatizo sio mjomba tatizo ni wewe na mama yako.
Mama yako ana roho ya kimasikini na ataua biashara very soon na wewe Huna maamuzi ya kuokoa biashara.
Nashauri yafuatayo;
1. Fukuza mjomba haraka kama unauchukia umasikini na mama akitaka kunywa sumu mtafutie wakala wa kuuza sumu kwa bei ya jumla.
2. Mama hatakunywa sumu bali ataamua kukuundia zengwe umwachie mali zake. Uwe tayari kurudisha mali za mama maana sio zako mpaka adanje. Wewe ukaanze maisha yako.
3. Kama ushauri wa kwanza na wa pili huwezi basi endelea kusevu upate fuso lako alafu urudishe mali za nyumbani uendelee na yako. Yuko mwenzako ambae baada ya mgogoro wa familia kuhusu umiliki wa chombo cha habari, alisevu pesa zake akaenda kufungua kingine.

NB: "utajiri si kwa kila mtu lakini kila mtu anaweza kua masikini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…