Namfukuzaje mjomba

Namfukuzaje mjomba

Dah ndugu yangu hili nalo ni tatizo au wewe unataka liwe tatizo? Maana unavyoendelea kutumia makalio badala ya kichwa naona unaenda haribu mahusiano na ndugu zako kisa Mali ambazo Dingi alikufa akaziacha. Ni kweli hupendi kurudishwa nyuma na huyo anko ila najiuliza kama wewe uliaminika hadi kukabidhiwa Mali unashindwaje kula na kipofu??
 
Mkuu mimi sina cha kukushauri ila mwambie mama akitaka kunywa sumu aje inbox nimuuzie sumu ya panya og hiyo ni dakika 10 tu kifo hiki hapa hata unywe maziwa ya ngamia roho hairudi.
Dah[emoji38][emoji38]
 
huu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi , kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu wadogo ,makuzi yao ni wamepita kwenye mikono ya mzee wangu . mzee wangu alikuwa ni mfanyabishara wa kati , katika uhai wake aliacha mashamba mengi, nyumba kazaa , duka mbili na gari za biashara , hadi anafariki gari zilikuwa zimechoka , nilizifufua kwa mnaozijua scania ni chuma kisichoisha kishamba .katika uhai wake mzee alifanikiwa kuzaa na wanawake karibu sita* huyu wa sita mtoto alifariki alikuwa ni dada yetu* katika hawa watoto tuliobaki mimi ni mtoto wa mwisho na katika siku za mwisho za maishanya mzee hapa duniani mimi nilikuwa karibu zaidi na mzee na mimi ndiye nilifundishwa kazi karibu zote za mzee, hata kuna mali nyingi kama mashamba ya miti mzee alinionyesha mimi tu, kiufupi alinipenda sana (huwa naumia sana kwa kumkosa mzee hii hali huwa inajirudia sana ) ..............tangu mzee anaumwa hadi alipofariki nilikuwa nasoma chuo, baada ya msiba tulikaa kikao cha familia na familia kuamua mali zote ambazo hazikugawanywa na mzee zibaki ni mali za familia na akibiziwe mama kama msimamizi mkuu na mimi nimsaidie mama, kwa bahati mbaya baada ya mzee kufariki nilipanic sana nilijingiza kwenye ulevi wa pombe ,hali iliyomfanya mama kunichukia sana na kunitaka nisiwe sehemu ya mali zake, hadi niliposoma postgraduate ya ualimu na kupata kazi ya aulimu bado mama alikuwa ananiona mimi chenga na kumlaumu mzee kuwa alinidekeza sasa nimeharibika.. baada ya kupata kazi na kaka zangu kuona mali zinaharibika na mimi naishi maisha magumu , walimjia juu mama na kunikabizi mali zote nizisimamie kwa sababu walikuwa wanajua ukaribu wangu na mzee . baada ya kupewa mali nilianza na mashamba kuyafufua , nikaja na duka moja , duka lingine lilikuwa vizuri na lilikuwa linauzwa na mama na ndugu zake hadi leo sihusiki nalo, nakumbuka nilipewa kama 20 m kama mtaji , so nikazipeleka shambani ,kisha dukani, baada ya hapo nilikopa mimi kwa sababu nilikuwa najua mikopo ya mzee , na kisha nikafufua gari moja, baada ya kukufua gari ilibidi nimtafte kaka yangu flani nimuombe apewe gari na gari anaijua na ana connection kubwa ya wafanyabishara ,miaka mingi amefanya kazi na marehemu mzee kama dreva mkuu. baada ya kumpatia gari huyu kaka yangu ,tulipiga sana kazi hela ya gar unaishika tukalipa vizuri mkopo , baada ya kulipa tukamua tufufue gari nyingine kweli nikaiweka nyingine sawa na nyingine ikauzwa nikatfa fuso , hapo ndipo shida ilianza ,mama aliniomba nimpe gari moja mjomba kwa sababu ni dreva na anakaa home na mother kamaliza chuo ajira hakuna na dukani.wapo wengine . nilivyompatia gari haikuwa shida mwanzoni , baadaye kidogo mjomba akanza makeke ya kugombana na madreva wengine , kageuka boss, yule dreva wangu mkuu kaka yangu alikuja kunikabizi gari kuwa hawezi fanya kazi kwenye mazingira magumu, nilimuomba sana na kukmuita mjomba na kumweleza riisk na tabia zake kuwa hazifai ,nazani hakunielewa , akaendelea na tabia zile zile , ilibidi niwaite wajomba wengine labda wamkanye , kweli tulikaa kikao mimi, wajomba na mama , kweli mjomba alikiri atabadilika ,cha ajabu baada ya kikao mama alinijia na kunilaumu sana , eti namtia mkosi mdogo wake kumuitia vikao na kuniambia nisirudie kukiwa na shida nimwambie yeye , ilibidi nimwambie kuwa akirudia kwa kweli namfukuza , nilipomwambia hivo dah mama alikuja juu sana na kunitishia sana hata kudirki kusema atakunywa sumu nikimfukuza mdogo wake. kweli tumefanya kazi kwa amani kama miaka miwili hadi sasa hapakuwa na shida , shida zimerudi upya gari zilikuwa njia ya mbeya kubeba viazi , acha tu mjomba kawanyanyasa sana huko, tunapanga mafuta na dreva wangu mkuu , nampatia hela dah mjomba hataki nimpe dreva huyo , maneno kibao dah nashindwa kuelewa , nawaza nimfukuze nakumbuka kauli ya mama nikimwacha anaharibia kazi, kiufupi nipo njia panda naona kabisa mjomba hayupo kwenye maono yangu , huyu dreva mkuu namhitaji sana kwa sasa kuna mahali nataka nifike kwenye biashara ya gari, fundi wangu hamtaki mjomba anadai wanapishana , kiufupi mjomba anaona hizi mali ni zao na dada yake, nimejaribu kumweleza umuhimu wa kuheshimu wengine, umempatia mtu pesa akusaidie kuzungusha halafu unampelekesha akizipiga chini haelewi, tayari naona nina kirusi kwenye kazi zangu kukitoa inanipa headache .moyo nimeusikiliza unasema fukuza shida mama sasa mama atafanyaje, kajamaa kanajiona ni sehemu ya umiliki, mimi mwenyewe huwa nakaa na kaka zangu tunajadili wananipa malengo najiwekea malengo , kaka zangu hawa ni mama tofauti , ni utu wao tungegawana hali ingekuwa ngumu sana kwangu , nipo kwenye mtanziko mkubwa
Fukuza huyo mjomba, mama hawezi kunywa sumu, niamini.
 
Hadi hapo hakuna biashara, magari yanaenda kupaki sio muda mrefu halafu dizaini, Bibi mkubwa kapigwa kitu kizito na mdogo wake au kamdekeza Sana au Bimkubwa anahela za kutosha so haoni risk zitakazokuja mbele kutokana na uzembe, ujinga wa mjomba.
 
Simama kama mwanaume, kwani akijiua yeye ndio atakuwa wa kwanza kufa?
 
Biashara lazima endeshwe kama biashara. Lazima idara imara, kanuni na mfumo wa nidhamu uwepo.
Ikiwa mwana familia anazingua majukumu yake basi aonywe na akumbushwe wajibu wake. Akizidi inabidi atimuliwe tu la sivyo ataharibu masilahi ya familia yote.
Ikishindikana gawaneni kila mtu aendesha vyake.
Fata huu ushauri, full stop
 
Bimdashi wako anatenda yote hayo na kamjomba boy kuwahujumu ma bro zako
 
" Tafuna jongoo " fanya maamuzi magumu. Mama ako hawezi kunywa sumu kwa sababu ya mdogo wake never.
 
Bro nimesoma uzi wako ngoja nikushaur kitu.
Hapo kazi ilipofikia ni wakat wa wewe kufanya shughuli yako binafs. Hiyo ni ishara Mungu anakupa ya kufanya ile kitu inaitwa agano la asili. Shida ya hiyo kazi yako ni kuwa mbeba maono na watafsiri maono hamuendani so chakufanya. Itisha kikao cha familia nzima weka meza mpango mkakati wako na watu unaotaka kufanikisha nao huo mpango. Sasa unasema kuna mawili ni au waupitishe au wakugawie chako uanze fresh. Mzee usimuangalie Mama cjui mtu unavyotaka kuitafuta kesho ya watoto wako waachie wafu wazike wafu wao. Huwez kufungiwa nira na wasio amin mzee. Waache wafu wazike wafu wao. Baada ya hapo jitahd ufunge vioo na uwe na sura ngumu ukomae miaka 10 watakutafuta wote
 
Watu kama nyinyi wameadimika hapa jamvini .

Hongera una kichwa kizuri bila shaka hunywi pombe
 
Huwa nadhan kuandika jambo ukiwa upsets hata kama una taaluma ya kiasi Gani huwez kufit kweny principles za uandish kwa 100% ....mostly unakuwa unaandika kwa hisia zaid ya kutumia akili....msamehe mkuu
Unajua humu watu hawajui tu, kuna hali unapitia sasa katika kuelezea unajikuta unaandika tu unaandika tu huku machozi kwa mbaliii ,ilishawahi kunikuta humu nilipotoa la moyoni nikitegemea unafuu wa moyo ila wengi wakaangukia huko kwenye uandishi wangu .
 
Bela Mwanyaluke hizo biashara unafanyia kutokea Mbeya, Njombe, Mafinga au Makambako ili nikushauri vizuri cha kufanya?
 
Kuna kampuni moja ya mabasi ilikufa kwa sababu ya mama kukataa mtoto wa kambo kusimamia mabasi eti asimamie mtoto wake ambae hana hata chembe ya uelewa.

Tatizo sio mjomba tatizo ni wewe na mama yako.
Mama yako ana roho ya kimasikini na ataua biashara very soon na wewe Huna maamuzi ya kuokoa biashara.
Nashauri yafuatayo;
1. Fukuza mjomba haraka kama unauchukia umasikini na mama akitaka kunywa sumu mtafutie wakala wa kuuza sumu kwa bei ya jumla.
2. Mama hatakunywa sumu bali ataamua kukuundia zengwe umwachie mali zake. Uwe tayari kurudisha mali za mama maana sio zako mpaka adanje. Wewe ukaanze maisha yako.
3. Kama ushauri wa kwanza na wa pili huwezi basi endelea kusevu upate fuso lako alafu urudishe mali za nyumbani uendelee na yako. Yuko mwenzako ambae baada ya mgogoro wa familia kuhusu umiliki wa chombo cha habari, alisevu pesa zake akaenda kufungua kingine.

NB: "utajiri si kwa kila mtu lakini kila mtu anaweza kua masikini"
 
Back
Top Bottom