Namfukuzaje mjomba

Mama anakutishatu, hawezi kunywa sumu, Piga chini ankoli aisee.
 
mzunguke mbuyu mjomba....wape sauti hao madreva na mafundi mjomba akizingua ale vitasa kimyakimya[emoji16][emoji16] halafu wewe unajifanya kama hujui kinachoendelea.......dawa ya moto ni moto sio kuzima moto.

Naunga Mkono hoja! Huyo Pimbi una mface tu! We mdwanzi piga chini, achia chuma ata kama ipo mikumi, na uiogope kama tupu ya mtoto! Kama haelewi tembeza Nakozi! Yoote yakikushinda Mjomba anaonekana anatumia Miti ni dawa, atakuweka kitandani huyo. Halafu mwambie na Bi Mkubwa, wanaokunywa Sumu hawasemi, angekunywa Sumu kipindi mdingi ametangulia Maana yeye ndio ameacha hicho anachokipambania, Bi mkubwa nae mcheki kwa Jicho la kipembuzi inawezekana nae piloti (Samahani kwa hili)
 
Kamroge ..yani kipapai Cha mwanakwenda kazi anakimbia na atakoelekea huko harudi Tena maeneo yako ya karibu..mafundi wa hii kitu wako Tanga
 
Tumia njia ya Amani kumaliza mgogoro Usijiumize Wala usimuumize mjomba wako.

Unaweza mpatia likizo na Pesa ya kula ndani ya mwezi mmoja ili Apate muda mrefu zaidi wa kujitafakari .

Yawezekana Akili yake mjomba na wewe zinawaza Sana Mali kuliko utu na ukifika hatua hiyo ni ngumu kusonga mbele maana utaanza kuumizwa zaidi na Mali au pesa Ambazo sio zake na Mwisho mtauana , mtalogana mtaombeana mabaya.
 
Tena usiendelee kuchelewa kumuondoa! Muondolee mbali huyo jamaa, atakuja kukupa majanga
 
Piga chini mtu anayekuharibia kazi...

Aliyepaswa kumpa maisha ni baba na mama yake na sio wewe...

Kama dada yake ana huruma sana amkabidhi duka asimamie...
 
Wanaokunywa sumu hawasemi!
 
Mfukuze kabisa tena ni mbwa huyo. Hizo ni mali zenu. Wewe kiroho una nguvu kubwa juu ya hizo mali kuzidi Mama yako. Tena hukupaswa kuomba ushauri kwa Mama mfukuze fasta huyo mbwa
 
Sumu haionjwi mwambie mama asikutishe ajaribu aone kama asubuhi hatozikwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…