muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Mama anakutishatu, hawezi kunywa sumu, Piga chini ankoli aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzunguke mbuyu mjomba....wape sauti hao madreva na mafundi mjomba akizingua ale vitasa kimyakimya[emoji16][emoji16] halafu wewe unajifanya kama hujui kinachoendelea.......dawa ya moto ni moto sio kuzima moto.
Tena usiendelee kuchelewa kumuondoa! Muondolee mbali huyo jamaa, atakuja kukupa majangahuu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi , kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu wadogo ,makuzi yao ni wamepita kwenye mikono ya mzee wangu . mzee wangu alikuwa ni mfanyabishara wa kati , katika uhai wake aliacha mashamba mengi, nyumba kazaa , duka mbili na gari za biashara , hadi anafariki gari zilikuwa zimechoka , nilizifufua kwa mnaozijua scania ni chuma kisichoisha kishamba .katika uhai wake mzee alifanikiwa kuzaa na wanawake karibu sita* huyu wa sita mtoto alifariki alikuwa ni dada yetu* katika hawa watoto tuliobaki mimi ni mtoto wa mwisho na katika siku za mwisho za maishanya mzee hapa duniani mimi nilikuwa karibu zaidi na mzee na mimi ndiye nilifundishwa kazi karibu zote za mzee, hata kuna mali nyingi kama mashamba ya miti mzee alinionyesha mimi tu, kiufupi alinipenda sana (huwa naumia sana kwa kumkosa mzee hii hali huwa inajirudia sana ) ..............tangu mzee anaumwa hadi alipofariki nilikuwa nasoma chuo, baada ya msiba tulikaa kikao cha familia na familia kuamua mali zote ambazo hazikugawanywa na mzee zibaki ni mali za familia na akibiziwe mama kama msimamizi mkuu na mimi nimsaidie mama, kwa bahati mbaya baada ya mzee kufariki nilipanic sana nilijingiza kwenye ulevi wa pombe ,hali iliyomfanya mama kunichukia sana na kunitaka nisiwe sehemu ya mali zake, hadi niliposoma postgraduate ya ualimu na kupata kazi ya aulimu bado mama alikuwa ananiona mimi chenga na kumlaumu mzee kuwa alinidekeza sasa nimeharibika.. baada ya kupata kazi na kaka zangu kuona mali zinaharibika na mimi naishi maisha magumu , walimjia juu mama na kunikabizi mali zote nizisimamie kwa sababu walikuwa wanajua ukaribu wangu na mzee . baada ya kupewa mali nilianza na mashamba kuyafufua , nikaja na duka moja , duka lingine lilikuwa vizuri na lilikuwa linauzwa na mama na ndugu zake hadi leo sihusiki nalo, nakumbuka nilipewa kama 20 m kama mtaji , so nikazipeleka shambani ,kisha dukani, baada ya hapo nilikopa mimi kwa sababu nilikuwa najua mikopo ya mzee , na kisha nikafufua gari moja, baada ya kukufua gari ilibidi nimtafte kaka yangu flani nimuombe apewe gari na gari anaijua na ana connection kubwa ya wafanyabishara ,miaka mingi amefanya kazi na marehemu mzee kama dreva mkuu. baada ya kumpatia gari huyu kaka yangu ,tulipiga sana kazi hela ya gar unaishika tukalipa vizuri mkopo , baada ya kulipa tukamua tufufue gari nyingine kweli nikaiweka nyingine sawa na nyingine ikauzwa nikatfa fuso , hapo ndipo shida ilianza ,mama aliniomba nimpe gari moja mjomba kwa sababu ni dreva na anakaa home na mother kamaliza chuo ajira hakuna na dukani.wapo wengine . nilivyompatia gari haikuwa shida mwanzoni , baadaye kidogo mjomba akanza makeke ya kugombana na madreva wengine , kageuka boss, yule dreva wangu mkuu kaka yangu alikuja kunikabizi gari kuwa hawezi fanya kazi kwenye mazingira magumu, nilimuomba sana na kukmuita mjomba na kumweleza riisk na tabia zake kuwa hazifai ,nazani hakunielewa , akaendelea na tabia zile zile , ilibidi niwaite wajomba wengine labda wamkanye , kweli tulikaa kikao mimi, wajomba na mama , kweli mjomba alikiri atabadilika ,cha ajabu baada ya kikao mama alinijia na kunilaumu sana , eti namtia mkosi mdogo wake kumuitia vikao na kuniambia nisirudie kukiwa na shida nimwambie yeye , ilibidi nimwambie kuwa akirudia kwa kweli namfukuza , nilipomwambia hivo dah mama alikuja juu sana na kunitishia sana hata kudirki kusema atakunywa sumu nikimfukuza mdogo wake. kweli tumefanya kazi kwa amani kama miaka miwili hadi sasa hapakuwa na shida , shida zimerudi upya gari zilikuwa njia ya mbeya kubeba viazi , acha tu mjomba kawanyanyasa sana huko, tunapanga mafuta na dreva wangu mkuu , nampatia hela dah mjomba hataki nimpe dreva huyo , maneno kibao dah nashindwa kuelewa , nawaza nimfukuze nakumbuka kauli ya mama nikimwacha anaharibia kazi, kiufupi nipo njia panda naona kabisa mjomba hayupo kwenye maono yangu , huyu dreva mkuu namhitaji sana kwa sasa kuna mahali nataka nifike kwenye biashara ya gari, fundi wangu hamtaki mjomba anadai wanapishana , kiufupi mjomba anaona hizi mali ni zao na dada yake, nimejaribu kumweleza umuhimu wa kuheshimu wengine, umempatia mtu pesa akusaidie kuzungusha halafu unampelekesha akizipiga chini haelewi, tayari naona nina kirusi kwenye kazi zangu kukitoa inanipa headache .moyo nimeusikiliza unasema fukuza shida mama sasa mama atafanyaje, kajamaa kanajiona ni sehemu ya umiliki, mimi mwenyewe huwa nakaa na kaka zangu tunajadili wananipa malengo najiwekea malengo , kaka zangu hawa ni mama tofauti , ni utu wao tungegawana hali ingekuwa ngumu sana kwangu , nipo kwenye mtanziko mkubwa
Waalimu mnazingua sana ujuaji mwingi haki zenu hamjui kudaiUngeandika kwa mpangilio nzuri basiii
AiseeeUkihitaj asassin njoo pm nikupe packages na rate zangu
Mfukuze kabisa tena ni mbwa huyo. Hizo ni mali zenu. Wewe kiroho una nguvu kubwa juu ya hizo mali kuzidi Mama yako. Tena hukupaswa kuomba ushauri kwa Mama mfukuze fasta huyo mbwahuu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi , kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu wadogo ,makuzi yao ni wamepita kwenye mikono ya mzee wangu . mzee wangu alikuwa ni mfanyabishara wa kati , katika uhai wake aliacha mashamba mengi, nyumba kazaa , duka mbili na gari za biashara , hadi anafariki gari zilikuwa zimechoka , nilizifufua kwa mnaozijua scania ni chuma kisichoisha kishamba .katika uhai wake mzee alifanikiwa kuzaa na wanawake karibu sita* huyu wa sita mtoto alifariki alikuwa ni dada yetu* katika hawa watoto tuliobaki mimi ni mtoto wa mwisho na katika siku za mwisho za maishanya mzee hapa duniani mimi nilikuwa karibu zaidi na mzee na mimi ndiye nilifundishwa kazi karibu zote za mzee, hata kuna mali nyingi kama mashamba ya miti mzee alinionyesha mimi tu, kiufupi alinipenda sana (huwa naumia sana kwa kumkosa mzee hii hali huwa inajirudia sana ) ..............tangu mzee anaumwa hadi alipofariki nilikuwa nasoma chuo, baada ya msiba tulikaa kikao cha familia na familia kuamua mali zote ambazo hazikugawanywa na mzee zibaki ni mali za familia na akibiziwe mama kama msimamizi mkuu na mimi nimsaidie mama, kwa bahati mbaya baada ya mzee kufariki nilipanic sana nilijingiza kwenye ulevi wa pombe ,hali iliyomfanya mama kunichukia sana na kunitaka nisiwe sehemu ya mali zake, hadi niliposoma postgraduate ya ualimu na kupata kazi ya aulimu bado mama alikuwa ananiona mimi chenga na kumlaumu mzee kuwa alinidekeza sasa nimeharibika.. baada ya kupata kazi na kaka zangu kuona mali zinaharibika na mimi naishi maisha magumu , walimjia juu mama na kunikabizi mali zote nizisimamie kwa sababu walikuwa wanajua ukaribu wangu na mzee . baada ya kupewa mali nilianza na mashamba kuyafufua , nikaja na duka moja , duka lingine lilikuwa vizuri na lilikuwa linauzwa na mama na ndugu zake hadi leo sihusiki nalo, nakumbuka nilipewa kama 20 m kama mtaji , so nikazipeleka shambani ,kisha dukani, baada ya hapo nilikopa mimi kwa sababu nilikuwa najua mikopo ya mzee , na kisha nikafufua gari moja, baada ya kukufua gari ilibidi nimtafte kaka yangu flani nimuombe apewe gari na gari anaijua na ana connection kubwa ya wafanyabishara ,miaka mingi amefanya kazi na marehemu mzee kama dreva mkuu. baada ya kumpatia gari huyu kaka yangu ,tulipiga sana kazi hela ya gar unaishika tukalipa vizuri mkopo , baada ya kulipa tukamua tufufue gari nyingine kweli nikaiweka nyingine sawa na nyingine ikauzwa nikatfa fuso , hapo ndipo shida ilianza ,mama aliniomba nimpe gari moja mjomba kwa sababu ni dreva na anakaa home na mother kamaliza chuo ajira hakuna na dukani.wapo wengine . nilivyompatia gari haikuwa shida mwanzoni , baadaye kidogo mjomba akanza makeke ya kugombana na madreva wengine , kageuka boss, yule dreva wangu mkuu kaka yangu alikuja kunikabizi gari kuwa hawezi fanya kazi kwenye mazingira magumu, nilimuomba sana na kukmuita mjomba na kumweleza riisk na tabia zake kuwa hazifai ,nazani hakunielewa , akaendelea na tabia zile zile , ilibidi niwaite wajomba wengine labda wamkanye , kweli tulikaa kikao mimi, wajomba na mama , kweli mjomba alikiri atabadilika ,cha ajabu baada ya kikao mama alinijia na kunilaumu sana , eti namtia mkosi mdogo wake kumuitia vikao na kuniambia nisirudie kukiwa na shida nimwambie yeye , ilibidi nimwambie kuwa akirudia kwa kweli namfukuza , nilipomwambia hivo dah mama alikuja juu sana na kunitishia sana hata kudirki kusema atakunywa sumu nikimfukuza mdogo wake. kweli tumefanya kazi kwa amani kama miaka miwili hadi sasa hapakuwa na shida , shida zimerudi upya gari zilikuwa njia ya mbeya kubeba viazi , acha tu mjomba kawanyanyasa sana huko, tunapanga mafuta na dreva wangu mkuu , nampatia hela dah mjomba hataki nimpe dreva huyo , maneno kibao dah nashindwa kuelewa , nawaza nimfukuze nakumbuka kauli ya mama nikimwacha anaharibia kazi, kiufupi nipo njia panda naona kabisa mjomba hayupo kwenye maono yangu , huyu dreva mkuu namhitaji sana kwa sasa kuna mahali nataka nifike kwenye biashara ya gari, fundi wangu hamtaki mjomba anadai wanapishana , kiufupi mjomba anaona hizi mali ni zao na dada yake, nimejaribu kumweleza umuhimu wa kuheshimu wengine, umempatia mtu pesa akusaidie kuzungusha halafu unampelekesha akizipiga chini haelewi, tayari naona nina kirusi kwenye kazi zangu kukitoa inanipa headache .moyo nimeusikiliza unasema fukuza shida mama sasa mama atafanyaje, kajamaa kanajiona ni sehemu ya umiliki, mimi mwenyewe huwa nakaa na kaka zangu tunajadili wananipa malengo najiwekea malengo , kaka zangu hawa ni mama tofauti , ni utu wao tungegawana hali ingekuwa ngumu sana kwangu , nipo kwenye mtanziko mkubwa
Muhimu ujumbe umekufikia vyema, hayo mengine ni ziada, apangilie vyema kama yupo kwenye mashindano???Mwalimu unaandikaje hivi? Elimu yetu bado sana hata kupangilia aya nako tatizo
Umempa uhuru mwingi na kumshirikisha taarifa nyingi....huyo mama pia ni vitisho tu utaua future kwa ujinga wa mbuzi mbili!