Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Mi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Aggy una roho ngumu. Ukaenda kabisa kanisani kwa Lusekelo?😅😅
 
Inasmekekana kile kitaulo ni kujifuta jasho maana pale mbele alikuwa anakaa na kichupa cha konyagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…