Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

We mtu umenichekesha sana khaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukifatilia mahubiri yake tangu mwaka jana mwezi wa nane mpaka leo yamekaa kiwosia sana yanaashilia akimaliza hayo hana haki ya kuongea mengine zaid n amefika mwosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya makanisa yanayoitwa ya kiroho haya!!!! unatangazia dunia kuwa una solve matatizo na magojwa ya yasiyotibika!!!! haya wanakuja !!!! tunazoeana!!!! wanakuwa waamini!!!! wanatoa ushuhuda wamepona!!!! tunashangiliaaaaaaaaaa
 
Tuna kila sababu ya kumwombea Mchungaji Lusekelo kwa kweli..Hizi ni picha zake tatu tofauti.
20190401_213636.jpeg
20190401_213703.jpeg
tapatalk_1554143632960.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom