Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Mchungaji kama binadamu yeyote yule ana'haki' ya kuumwa. Haina maana kwa kuwa yeye ni 'mtoa motivation' au 'neno' haumwi. Muhimu ni apate tiba sahihi katika hospitali na hali yake ita imarika mara moja.
 
Duuuh! Kuna muda nilijiuliza huyu mzee amepatwa na depression kiasi cha kuamua kuwa mlevi..??? Nadhani kipindi hicho ndiyo aligundua amekanyaga..!
Wakati mwingine nakuwa na wasiwasi na vitu viwili.
1. Labda kakiuka masharti ya kuendesha Ministry, au
2. Muda wa idadi ya punje za mahindi umekaribia kuisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Physical outlook
. Miserable apparently- not interested with the sarrounding
. straight hair, easily pricable
. Wasting gradually.
. fainting in skincolur opposite of shinny

Implication- certain pathology is going on in his body
Doctor upo vizuri
 
Wangapi wamekanyaga na wala huwezi kuwatambua? Ana kitu cha ziada huyu "Mtumishi"
Utumishi, personality yake, maneno yake kanyoshea watu sana vidole lazima apate depression, ni vigumu kuikubali ile hali watu wengi hufa kwa shot si kwasababu ya shot bali regression..!

Nafsi ina mhukumu shetani anamuzomea pande zotebza dunia..! Ndiyo hivyo akijikubali atarudia afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…