Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Mapadre ni watu kama wewe..sio malaika..hivyo naona wanaanguka ktk dhambi....ila kuanguka kwao dhambini hakuondoi Utakatifu wa Kanisa....Kanisa Litabaki kuwa Takatifu...maana lipo kwa ajili ya kutakatifuza hao wadhambi wakiwamo Mapadre....


Unaongelea miujiza..??? Unafikiri kilichomleta Yesu ni kuja kutoenesha style za miujiza...

Halafu hiyo unayoita miujiza sil miujiza..ila ni Illusion na Allucination za waumini wenye matatizo yao ya kiamaisha

Kanisa haliwezi kuwa takatifu hata siku moja....hebu elezea kwanza maana ya kanisa maana usije kuwa umekalili kilichoandikwa katika katekismu “Kanisa Takatifu” doh!!

Mimi ni RC ila huu upuuzi hua naukataa sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dooooooh upako kwishnee... mdomo wake ulijaa maneno ya kejeli kejeli anasema "hapa kwangu sina kimeo hata kimoja zote hizi gari kalii" mimi mtu wa perfume kaliii Mungu anisamehe" 😂😂😂😂... utaskia "nitatongoza wake za watu wangapi...wivu tuuu.. waume zao wakiniona nilivyo wanajua wake zao hawawezi kunikataaa"... "umeona hizi nywele zangu.. sipaki dawa mimi hizi ni natural"
 
Kanisa haliwezi kuwa takatifu hata siku moja....hebu elezea kwanza maana ya kanisa maana usije kuwa umekalili kilichoandikwa katika katekismu “Kanisa Takatifu” doh!!

Mimi ni RC ila huu upuuzi hua naukataa sana


Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie nguvu kujiaminisha kuwa upo sahihi,
Wewe si kipimo cha ukweli kiasi kuwa ukikataa jambo inakuwa sahihi,
Jipe muda wa kuuliza na kujifunza,
Lkn km umeamua kukataa sababu tu akili yako imegota basi sawa,
Kanisa ni nini,
Biblia takatifu,
Mahali hapa patakatifu,
Hekalu takatifu
Nk nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom